Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mbeya Kwanza yavuta kifaa Nkana

KLABU ya Mbeya kwanza FC imefanikiwa kumsajili Salum Abdallah Chuku kutoka Nkana Red Devil FC ya nchini Zambia kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Siku chache zilizopita wageni hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu ujao tayari wamethibitisha usajili wa mchezaji Habibu Haji Kyombo, Mtanzania aliyekua anachezea Mamelody Sundowns Ya Afrika Kusini kwa mkopo.

Pia tayari wamenasa saini ya Rolland Msonjo mlinzi wa kati ambaye ni mchezaji Wa Timu Ya Taifa Ya Vijana (U23) Kwa mkataba wa miaka miwili pamoja na  Mizah Cristom Abdallah akitokea Namungo FC.

Aidha pia klabu hio ilimtambulisha Harerimana Haruna raia wa Burundi kuwa Kocha Mkuu atakayeinoa timu hiyo msimu ujao.


IMEANDIKWA NA LEONARD MUSIKULA (TUDARCO)