KIJIWE CHA SALIM SAIDI SALIM: Papp staa wa ngumi aliyekufa akilaani serikali kumbania mashindano 55 kwa kuwatoa wapinzani wake nje ya ulingo. Wengine walipoulizwa baada ya kuchapwa kama wanakusudia kuwa na pambano la marudiano na Papp walikasirika. Mwanamasumbwi mmoja alipotajiwa...
Buriani Jumbe, kazi ya miaka 40 imetosha MZEE wa Dodo hatuko naye tena. Mtumishi amefariki dunia na kuacha simanzi kwa ndugu, jamaa na marafiki. Ni mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi, Hussein Seleman Jumbe ambaye amezikwa juzi Jumanne...
PRIME UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Mwijaku, Baba Levo wapewe Taifa Stars Hamasa ya timu za Taifa. Kazi ya kamati ni kuhamasisha Watanzania kupenda timu na kuzichangia. Haya ndiyo malengo makuu. Hakuna lingine lolote na ni kazi isiyokuwa na malipo. Oscar Oscar ambaye...
ALLY KAMWE: Namshawishi Mayele arudi, 5-0 za Simba zilinitesa KUNA muda kwenye maisha unajiwekea mipango yako au kudhania sehemu fulani inawahusu watu wa aina tofauti na wewe kumbe haiko hivyo.
NIONAVYO: Haya yafanyike Ligi Kuu Kenya iamke upya kisingizio cha matatizo na serikali na pia FIFA kimeondoka, sasa wananchi wanakodoa macho kwa Rais Nicky Mwendwa, Makamu Petra na Mtendaji Mkuu Omondi waweze kutatua changamoto inayorudisha nyuma...
SIO ZENGWE: Pre-Season ni kutapanya fedha au maandalizi? utimamu na kuishia kwa kuanza kucheza mechi zisizo ngumu kabla ya msimu kufunguliwa. Cha ajabu, kila ambacho hufanywa na klabu zetu kubwa hutafsiriwa vizuri sana na vyombo vyetu vya habari.
NIONAVYO: Viwango duni vya marefa,TFF iamke katika mchezo wa mpira wa miguu.Kuamua kutochukulia waamuzi kwa umuhimu ni kuamua kutouchukulia mpira wa miguu kwa umuhimu. Mwandishi wa makala hii ni katibu mkuu mstaafu wa Shirikisho la...
NIONAVYO: Taasisi hii haitufungi kuhoji taarifa na takwimu za wewe kuwa milionea. Akili za kuambiwa changanya na zako. Mwandishi wa makala haya amewahi kuwa katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
PRIME NIONAVYO: Kombe la Dunia 2030 litafanyika angani makubwa kabisa ya soka duniani. Je, huu ni uamuzi wa busara? Tusubiri tuone. Mwandishi wa makala hii ni Katibu Mkuu mstaafu wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF).Unaweza kumtumia...
Kisinda wa leo sio Moloko wala Lunyamila wa Yanga wakasema Onyango kazi iko palepale siku ya mechi baina ya timu hizo. Walijua Kisinda a.k.a Turbo angemkimbiza tena Onyango. Katika mchezo wa kwanza wa timu hizo kule Morocco, mashabiki wa...