PRIME Yanga, Aucho kuna kitu kinaendelea KIUNGO mpya wa Singida Black Stars, Khalid Aucho ameshaanza kujifua na timu hiyo mpya iliyompa mkataba wa miaka miwili, lakini kuna jambo linaloendelea kwa mabosi wake wa zamani ambao inadaiwa...
Kwa hili... Taifa Stars hatuwadai ACHANA na matokeo ya pambano la usiku wa jana Ijumaa la robo fainali ya michuano ya CHAN 2024 wakati Tanzania ilipokabiliana na Morocco kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam...
Kwa ratiba hii... Muda wa kupumzika kwa wachezaji ni mtihani BODI ya Ligi Kuu Bara (TPLB) imetoa ratiba ya msimu wa 2025-2026 uliopangwa kuanza Septemba 17 kwa mechi mbili - KMC itacheza na Dodoma Jiji, Dar es Salaam ilhali Coastal Union dhidi ya Tanzania...
Ufundi wa Kepteni Bruno WAKATI Ruben Amorim anaingia mlangoni Old Trafford, Novemba mwaka jana na kauntabuku lake la maelezo ya fomesheni ya 3-4-2-1 mkononi, maswali mengi yaliyoibuka ni kutokuwapo kwa majukumu ya Namba...
Huyu ndiye Raja wa ile filamu ya Hatya Sasa kama hujui ni kwamba, dogo huyo aliyekuwa akisakwa na kundi la maadui kutokana na kushuhudia tukio la kuuawa kwa wazazi wake, hakuwa mtoto wa kiume....
Kombe jipya la Shirikisho Afrika si mchezo SHIRIKISHO la Soka Afrika mapema jana lilizindua kombe jipya la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kabla ya kupigwa kwa mechi ya pili ya fainali kati ya Simba na RS Berkane ambayo miamba hao...
PRIME Tanzania na fainali mbili ndani ya miaka miwili LICHA ya maumivu makali ambayo wana Simba na Watanzania kwa ujumla waliyapata mwishoni mwa juma kwa kulikosa Kombe la Shirikisho la Afrika, lakini ni dalali njema kwa mpira wetu kwamba hatuko...
PRIME Azam yafunguka kipengele cha Yanga, Fei Toto kutua Simba Unakumbuka neno kipengele lilivyogonga vichwa vya habari wakati wa sakata la kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi?
PRIME ARNE SLOT: Historia ya makocha hawa inamweka pabaya UBINGWA una raha yake bana. Kwa sasa mashabiki wa Liverpool wanakenua baada ya kutwaa taji la Ligi Kuu England. Ni taji la 20 na la kwanza kwa Kocha Anrne Slot ukiwa ndiyo msimu wake wa kwanza...
PRIME Yaliyojificha sakata la kipa Fountain Gate Nyuma ya adhabu ya kusimamishwa kwa kipa John Noble wa Fountain Gate kuna sababu mbili kubwa ambazo zimefanya timu hiyo ambayo inatumia Uwanja wa Tanzanite Kwaraa Babati, Manyara kuchukua uamuzi...