MTU WA MPIRA: Nani alimsajili Ajibu pale Azam? KUNA wakati unajiuliza viongozi wetu wa soka huwa wanafanya maamuzi kwa kufikiria kweli? Ni kama hili la Ibrahim Ajibu kusajiliwa pale Azam FC. Ni kweli walifikiria ama walimsajili tu kwa...
MTU WA MPIRA: GSM, Mo Dewji ndio wakombozi wa soka letu ya fedha kwenye usajili. Bahati mbaya ni unaweza kununua wachezaji kwa fedha nyingi na bado wakashindwa kufanya vizuri. Ndicho kilichowakuta Yanga msimu uliopita. Walikwenda kutafuta mchezaji aina...
ZA NDAANI KABISA: Wawa ndo basi tena NI suala la muda tu. Mwisho wa msimu huu Simba itasajili wachezaji wanne wa kigeni ili kuongeza makali ya kikosi chao kwa ajili ya msimu ujao. Ili Simba ishushe majembe hayo akiwamo Victorien...
Chama la Masau lazitaka tatu Polisi kwenye mechi hiyo hivyo tunachosubiri ni muda ufike tukapambanie kile tunavhokitaka.” Naye Winga wa timu hiyo, Pius Buswita kwa niaba ya wachezaji ameeleza kuwa tayari kupambana na kuhakikisha...
Simba mpoo.. chuma kinajifua KOCHA Mkuu wa Yanga, Nabi Mohammed ameanza mapumziko nchini kwao Ubelgiji lakini amechukua tahadhari kubwa. Amesisitiza kwamba ameacha vyuma vyake kikiwemo Fiston Mayele kinajinoa na anaamini...
GSM rasmi Yanga MFADHILI wa klabu ya Yanga, Ghalib Mohamed amewaongoza wanachama wa klabu hiyo kuanza kupokea kadi zao mpya za utambulisho wa wanachama huku naye akiwa mwanachama rasmi. Ghalib alipokea kadi...
Mechi 410 FKF-PL hat-trick nne LIGI Kuu Kenya itaingia mzunguko wa 24 mara tu baada ya mapumziko ya wiki mbili lakini takwimu za msimu huu zinaonyesha kati ya mechi 410 ambazo zimechezwa hadi sasa hat-trick nne tu ndizo...
ZILITRENDI: Yanga yamponza Kado KATIKA tarehe kama ya leo ya Machi 24, mwaka 2008 iliripotiwa stori juu ya kipa Shaaban Kado aliyekuwa akiidakia Moro United kuingia matatani na kusimamishwa na timu yake kutokana na mabao mawili...
ZILITRENDI: Mserbia acharukia uongozi wa Yanga TAREHE kama ya leo ya Machi 24, lakini mwaka 2008 iliripotiwa taarifa ya Kocha Msernia, Dusan Kondic kuucharukia uongozi wa Yanga kwa madai ya kufanya mambo bila ya taratibu hali inayosababisha...
ZILITRENDI: Wawili Simba wazuiwa Nigeria KAMA kawaida ya Alhamisi ukurasa huu, huwa unaangalia stori zilizobamba miaka ya nyuma, lakini katika tarehe husika na leo tunaenda hadi mwaka 2008. Katika tarehe kama ya leo yaani Machi 24 ya...