Nabi: Tunakuja kivingine dhidi ya Simba YANGA imeingia kambini jana mchana tayari kwa maandalizi dhidi ya Simba lakini kocha wao Nasreddine Nabi ametamka kwamba watashuka na mambo mapya ndani ya mchezo huo.
NI HUYU: Refa wa Simba, Yanga ajadiliwa usiku mnene Dar JOTO la mpambano wa Ligi Kuu Bara baina ya Yanga na Simba utakaopigwa Jumamosi saa 11 jioni wiki hii katika Uwanja wa Mkapa linazidi kupanda.
Yanga wamedhihirisha ukubwa wao kwa Namungo MCHEZO wa juzi Yanga dhidi ya Namungo FC katika Uwanja wa Benjamin ambao waliibuka na ushindi wa mabao 2-1 umedhihirisha kuwa Yanga imejipanga na inastahili kuwa bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara...
Yanga kamili kwa Kariakoo Derby Yanga imejihakikishia kuivaa Simba katika mchezo wa Aprili 30 ikiwa kileleni mwa msimamo kwa pointi 13 dhidi ya Simba inayoshika nafasi ya pili.
Simba kuoga minoti kwa Orlando SIMBA kesho Jumapili wana kazi moja tu ya kuhakikisha wanaiondoa Orlando Pirates kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika iwe kwa sare yoyote au ushindi.
Mchengerwa: Nendeni mkaishangilie Simba, Afrika Kusini ni salama Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa amewatoa hofu mashabiki wa soka wanaotaka kwenda Afrika Kusini kuishangilia Simba katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya...
Kumekucha... Yanga yacheza akili kubwa ASIKWAMBIE mtu, kushinda vita kubwa kunahitaji akili kubwa. Hicho ndicho Yanga inachojaribu kufanya kwenye vita yao ya kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu.
Kisa kocha Orlando, Simba yaomba ulinzi Afrika Kusini KLABU ya soka ya Simba imesikitishwa na shutuma za uongo za kocha msaidizi wa timu ya Orlando Pirates Mandla Ncikazi alizozitoa baada ya mchezo wa kombe la Shirikisho Afrika ambapo Orlando...
Mtajua hamjui...Yanga yanasa vyuma viwili UNACHOTAKIWA kufahamu sasa ni kwamba huko Yanga kumekucha. Na muda si mrefu utashuhudia vyuma vikipishana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.
Aziz Ki awakubali wananchi MBURKINABE Stephane Aziz Ki, anayemalizia mkataba wake na timu ya Asec Mimosas ya Ivory Coast, amesema bado yupo katika mazungumzo ya mwisho kabisa na bosi mmoja wa GSM na kila kitu kikimalizika...