ABAS KUKA -2: Huyu Manara bonge la staa kwanza. Baada ya kipyenga kupulizwa huku tukiwa tumepigwa nne, hadi washabiki wetu wenyewe walitununia. “Sikumbuki kama tulicheza vibaya sana kwenye ile gemu lakini wenzetu walitumia vizuri...
Simba, Azam shauri yenu AZAM ikipoteza au kutoa sare nyumbani leo dhidi ya Simba itajiweka rehani kwenye mbio za nafasi tatu za juu. Lakini hata Simba ikipata matokeo kama hayo itairahisishia Yanga mbio za...
Borega Sisters watwaa vikombe mashindano ya kuogelea ya FK Blue Marlins vile vile mwalimu wa shule yao ya kimataifa ya Dar es Salaam Independent School (DIS) Haleluya Mpango. Leyna anasoma darasa la nne katika shule hiyo na Lorita anasoma darasa la tano. “Mashindano...
Pablo: Hakuna pengo Simba Maisha ya Bernard Morrison yamefikia mwisho ndani ya kikosi cha Simba. Kocha wa Simba, Pablo Franco amewatoa hofu mashabiki kwamba hakutakuwa na pengo lolote kikosini. “Katika mechi na Pamba...
Aussems: Morrison Yanga atacheza MAKOCHA wa zamani wa kigeni wa Simba na Yanga wamesema kwamba Bernard Morrison aliyepumzishwa na Simba mpaka mwisho wa msimu ana nafasi kwenye kikosi cha Jangwani kama akitulia. Patrick Aussems...
MTU WA MPIRA: Sasa Ulaya tunataka aende huyu Kibwana Shomari? uwe mtu wa mazoezi. Huyo Mbwana Samatta na kujua kwake soka alilazimika kucheza soka la Afrika kwa kiwango cha juu kwa miaka Zaidi ya minne ndipo akaenda Ulaya. Huwezi kuamka tu asubuhi na kwenda...
ZA NDAANI KABISA: Wanne kupigwa panga Simba... MABOSI wa Simba bado hawajaweka wazi kuanza mchakato wa usajili kwa maana ya majina ya mashine mpya ambazo watazileta kwa ajili ya kuongeza makali pamoja na wale watakaowaacha. Wiki hii...
Miaka 22 ya unyonge kwa makocha wazawa! SIO ajabu, huko mitaani mara nyingi mmewahi kukutana na mabango hayo. Mabango yanayotundikwa na kubandikwa katika maeneo tofauti, lakini vyote vikitangaza biashara ya aina moja. Ni kama vile...
Ishu ya Morrison kama muvi IMEISHA. Maisha ya soka ya Benard Morrison ndani ya Simba yamefikia mwisho ndani ya kikosi hicho baada kukitumikia kwa miaka miwili iliyoambatana na visa na mikasa mingi.
Simba, Pamba mtajua hamjui MOTO utawaka. Ndoto ya wengi ya kuona mzizi wa fitina unakatwa katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) imeshikiliwa na mchezo wa robo fainali ya mashindano hayo leo...