NO AGENDA: SOMETIMES CHIDI BENZ ANARUDI VIZURI SOMETIMES DISH LINAYUMBA
forefathers wa Hip Hop duniani, walishachana sana kuhusu ubaya wa madude na namna yanavyoangamiza. Pamoja na hivyo, Chidi akayavagaa! Namfahamu Chidi, ni mwana Hip Hop aliyekamilika. Sauti yake...