Wikiendi ya ngumi: Fury, Joshua kukiwasha MABONDIA wenye hadhi ya juu duniani wataingia ulingoni leo na kesho kwa Tyson Fury, Anthony Joshua, Tim Tszyu na Errol Spence Jr watashuka ulingoni katika mapambano yanayosubiriwa kwa hamu.
Biashara ya Vinicius Jr inavyozua utata wa usajili WINGA wa Real Madrid, Vinicius Junior, ameendelea kujijengea hadhi kubwa si tu ndani ya uwanja wa soka, bali pia kwenye ulimwengu wa biashara, huku akiwa miongoni mwa wachezaji wenye mvuto mkubwa...
Manchester City yamtaka Pedro Neto wa Chelsea MANCHESTER CITY imeingia katika mbio za kumsajili winga wa Chelsea, Pedro Neto, ambaye thamani yake imewekwa Pauni milioni 70, huku kocha mpya Enzo Maresca akitamani kufanya kazi naye kwa mara...
PRIME MZEE WA FACT: Julio alipoifaidisha Simba akiwa na jezi za wapinzani Wiki iliyopita kocha machachari Jamhuri Kihwelo 'Julio' aligonga vichwa vya habari kwa kauli zake tata kuhusu historia yake na klabu ya Simba.
Che Malone mtu haswa... kuonyesha kuwa angalau mguuni kuna kitu. Abdalah Hamis na Hussein Kazi hawa ni wazawa wanahitaji muda wa kucheza ili waweze kuzungumzwa. MWANDISHI WA MAKALA HII MAALUMU NI JOSEPH...
Mtoto wa Nabi aicheza mechi yote Dar, aichambua Africain lakini lazima wachezaji wetu wahakikishe wanaongeza umakini mkubwa kwanza kutumia nafasi watakazotengeneza lakini pia kasi ya kutengeneza mashambulizi. Kama wachezaji wa Yanga watatanguliza...
JIWE LA SIKU: Tumeepushwa na Adel Amrouche, tujipange Waalgeria ambako kwa kawaida huwa ni vigumu. Hata tulipocheza na Waganda ambao ni wenzetu hapa Afrika Mashariki, tuliwamudu na hivyo kurahisisha njia ya kwenda Ivory Coast. Pengine mafanikio yake...
NYUMA YA PAZIA: Mbappe, PSG ni jeuri ya kipaji dhidi ya noti ALIWAHI kuandika Mwandishi wa Gazeti la Daily Mail, Martin Samuel: "Kila mwanadamu anajisikia, tunatofautiana tu katika kiwango cha kuonyesha kujisikia kwetu.” Waingereza neno kujisikia...
NIONAVYO: Maendeleo ya soka yamezidiwa na mashindano ya soka bongo kuweka sera zaidi katika maendeleo ili kuendana na kasi ya uwekezaji katika matukio. Ukiangalia viwango vya Fifa wastani wa viwango vya Tanzania kwa timu ya taifa ya soka ya wanaume ni nafasi ya...