Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8285 results for Mwandishi Wetu :

  1. Yanga: CEO mpya ni mwanachama hai, ana kadi

    Uongozi wa klabu ya Yanga umetolea ufafanuzi kigezo cha kuchaguliwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo kutokana na tangazo la maombi ya kazi kuainisha anatakiwa kuwa mwanachama hai wa...

  2. Bosi mpya Yanga aanza na Al Hilal

    Mtine ameanza kushusha hesabu zote zitakazoisadia Yanga kuwashangaza matajiri hao wa Sudan, ikiwemno mikakati ya kocha wa timu hiyo Florent Ibenge ambaye ni raia wa DR Congo.

  3. Sheva awatega vigogo Geita

    VIONGOZI wa Geita Gold wako kwenye wakati mgumu baada ya mshambuliaji wao, Miraj Athuman ‘Sheva’ kugomea mazoezi kwa kile kinachodaiwa kutokamilishiwa fedha zake zote za usajili (signing fees)...

  4. DAH! Morrison ana majanga huyo

    Morrison kuikosa mechi dhidi ya Simba ni mwendelezo wa nyota huyo kukaa nje katika baadhi ya mechi kubwa hasa za Simba na Yanga pamoja na zile za kimataifa kutokana na kutumikia adhabu...

  5. Shabiki Simba, Manchester United ashinda mamilioni

    Dar es Salaam. Shabiki wa klabu ya Simba na timu ya Manchester United Derick Mustafa, ameshinda Sh49.8 milioni baada ya kubashiriki kwa kwa usahihi mechi 14 za ligi mbalimbali za soka duniani...

  6. Yanga yang’oa fundi Mazembe

    KIKOSI cha Yanga kinaendelea kupiga tizi jijini Dar es Salaam kujiandaa na mechi zijazo za Ligi Kuu Bara na zile za Ligi ya Mabingwa Afrika zitakazopigwa mwezi ujao, lakini mabosi wa klabu hiyo...

  7. ZA NDANI KABISA: Wabrazili Singida kama Ma-VIP flani

    SINGIDA Big Stars iliyopanda Ligi Kuu Bara msimu huu ikitoka Ligi ya Championship kwa jina la DTB, imeuwasha moto kwelikweli hadi sasa ikiwa nafasi ya tano kwenye msimamo ikila sahani moja na...

  8. Mgunda: Tunarudi kibabe sana

    tumeiona wapinzani wetu tumeshawafahamu tunajiandaa pia kuhakikisha tunaanza vyema ugenini kama tulivyopangiwa ili kuja kumaliza nyumbani, lengo ni kuvuka hatua hii pia ili kujitengenezea...

  9. MZEE WA UPUPU: Kuna nini kwa Arajiga

    JANA, Jumanne Septemba 20, 2022 ni siku ya 14 kamili tangu mwamuzi kutoka Manyara, Ahmed Arajiga kuvurunda kwenye pambano bora la Ligi Kuu Bara hadi sasa kwenye Ligi Kuu. Pambano hilo la sare ya...

  10. Shilton arudishwa Simba

    KOCHA wa zamani wa makipa wa Simba, Mohammed Mharami ‘Shilton’ amerudishwa Msimbazi kwa sasa akiunda benchi la ufundi la timu hiyo ambayo jana jioni ilikuwa uwanjani kumalizana na Nyasa Big...

Previous

Page 741 of 829

Next