Elon Musk atakapoinunua Liverpool LIVERPOOL iko moto sana kwenye Ligi Kuu England - lakini tajiri Elon Musk anataka kuifikisha mbali zaidi klabu hiyo.
Guardiola aachiwa msala Man City MANCHESTER, ENGLAND: MANCHESTER City imeripotiwa kwamba haitamlazimisha Pep Guardiola kung’atuka kwenye kikosi hicho cha mabingwa wa Ligi Kuu England licha ya kuandamwa kwa matokeo mabaya ya...
Wachezaji vijana waonyeshe upekee 2024/2025 Ni Julai ambapo baadhi ya timu zimeanza rasmi kambi za maandalizi kwa ajili ya msimu mpya wa 2024/2025.
Zamalek yaiduwaza RS Berkane, ikibeba Kombe la Shirikisho Afrika BAO pekee lililofungwa dakika 23 na Ahmed Hamdi katika pambano la pili la fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, iliyopigwa usiku wa jana jijini Cairo, Misri iliiwezesha wenyeji, Zamalek kubeba...
PUMZI YA MOTO: Mtoano, kupanda, kushuka, kubaki Ligi Kuu wazo zuri MWAKA 2018 kuelekea msimu mpya wa 2018/19, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania ilikuwa na mojawapo wa mawazo bora kuwahi kutokea kwenye mpira wa Tanzania.
Kisa Yanga... Kinzumbi aliamsha na Katumbi WAKATI msafara wa maofisa wa Yanga ukijipanga kurudi tena kwa klabu ya TP Mazembe kuendeleza ushirikiano wao, ndani ya klabu hiyo bingwa wa DR Congo winga wao ameliamsha rasmi. Yule winga...
Kigogo TFF amaliza utata ishu ya Inonga SAA chache tangu beki wa kati wa Simba, Henock Inonga kufunguka kwamba mkataba alionao na klabu hiyo unamalizika mwishoni mwa msimu huu, huku mabosi wa Msimbazi wakimkomalia kwamba bado ni mali...
PRIME Fadlu aliamsha Simba, arudia jambo lile lile KIKOSI cha Simba jana usiku kilikuwa jijini Tripoli, Libya kumalizana na Al Ahli Tripoli katika mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku kocha wa timu hiyo,...
Hatua 5 zingezuia utata dili la Kagoma KIUNGO mkabaji, mzawa Yusuf Kagoma amekuwa maarufu kwa siku za hivi karibuni baada ya jina lake kuhusishwa kwenye utata wa usajili akitokea klabu ya Fountain Gate.
NIONAVYO: Mwanzo mzuri Afcon 2025 kwa nchi za Afrika Mashariki MICHUANO ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) zitakazofanyika Morocco mwaka 2025, ilishuhudiwa mechi za pili zikimalizika juzi Jumanne, huku mataifa ya Afrika Mashariki...