Phiri: Simba kuna kitu KIKOSI cha Simba jioni ya leo kinatarajiwa kushuka Uwanja wa Manungu, Turiani kuvaana na Mtibwa Sugar katika pambano la Ligi Kuu Bara, ikiwa ni siku chache tangu itoke kufanya kweli kwenye...
Twendeni robo SIMBA na Yanga zinahitaji pointi tatu kila moja kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf) na nafasi ya dhahabu kupenya ni kushinda mechi zao zijazo ambazo zote...
NBC yakabidhi zawadi kwa Maxime Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ambaye ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League jana ilikabidhi zawadi ya pesa na tuzo kwa kocha bora wa ligi hiyo kwa mwezi...
Feisal, GSM uso kwa uso Dar BAADA ya mvutano wa miezi zaidi ya miwili kuhusu masuala ya kimkataba kati ya mchezaji Feisal Salum, 'Fei Toto' na klabu ya Yanga, Jumatatu ya wiki ijayo huenda ikawa mwisho wa sakata lote ambapo...
Siku ya wanawake Simba 1, Yanga 1 KAMA hujui ni kwamba, leo ni Siku ya Wanawake Duniani inayoadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka tangu ilipoanza kuadhamishwa mwaka 1975 baada ya Umoja wa Mataifa (UNO) kuridhia ina maajabu makubwa...
Okrah ndo hivyo tena Simba WINGA mahiri wa Simba aliye majeruhi, Mghana Augustine Okrah anahesabu siku tu kwa sasa akiwa amebakiza kama mechi saba za Ligi Kuu Bara kabla ya kusepa zake klabuni hapo kwa kile kinachoelezwa...
Joti, Gigy Money waula ubalozi WinPrincess Wasanii Gift Stanford 'Gigy Money' na Lucas Mhuvile 'Joti' wamepewa ubalozi wa mchezo wa kubashiri wa WinPrincess. Wawili hao walitangazwa kuwa mabalozi na Meneja wa...
Watapigwa kama ngoma! KIKOSI cha Simba, kinatarajiwa kushuka uwanjani kuanzia saa 1:00 usiku leo ili kuikabili Vipers ya Uganda kwenye mechi ya Kundi C ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku ikiwa na kazi mbili muhimu ya...
Yanga yamfungulia mlango Fei Toto Uongozi wa Yanga leo Machi 6, 2023 umemwandikia barua mchezaji Feisal Salum 'Fei Toto' kumtaka aripoti kambini haraka iwezekanavyo na kuendelea kuutumikia mkataba wake kama mchezaji halali wa...
Fei Toto atinga TFF kuomba kuvunja mkataba Yanga Fei Toto amefika TFF na mwakilishi wake, Jasmine Razack ambaye alizungumza na waandishi wa habari na kueleza nia ya mchezaji huyo.