Timu 48, mechi 104: Safari ya Kombe la Dunia 2026 kuaanza leo Pazia la Fainali za Kombe la Dunia 2026 linafunguliwa rasmi leo kwa mchezo baina ya wenyeji Mexico dhidi ya Afrika Kusini utakaochezwa kwenye Uwanja wa Azteca, kuanzia saa 4:00 usiku kwa muda wa...
Miujiza ya Kvaradona kuamua fainali Ulaya? AKIWA na bao au pasi ya bao katika michezo saba mfululizo ya hatua ya mtoano, hakuna mchezaji aliyeathiri zaidi hatua za mwisho za Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu kuliko winga wa kimataifa wa...
Aliyekuwa Mwenyekiti Bodi ya MCL, Leonard Clement Mususa afariki dunia Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Leonard Charles Mususa amefariki dunia leo Jumamosi, Mei 30, 2026.
Aibu FIFA Kombe la Dunia viti kibao vikibaki wazi IDADI kubwa ya viti visivyo na watu ilionekana wakati Korea Kusini ilipogeuza matokeo na kuifunga Czech katika mechi ya pili ya Kombe la Dunia iliyopigwa jana, katika tukio lililobua mjadala...
Rekodi 10 ngumu kuvunjika Kombe la Dunia 2026 WAKATI nyota kama Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Kylian Mbappe wakitarajiwa kuweka rekodi mpya katika Kombe la Dunia 2026, zipo baadhi ya rekodi ambazo zinaonekana kuwa ngumu kuvunjwa kabisa.
Diomande, Bouaddi madogo walioanza mapema sana IKIWA Ayyoub Bouaddi na Yan Diomande ni dalili ya kitu chochote, basi mustakabali unaonekana kuwa mzuri kwa Morocco na Ivory Coast mtawalia baada ya kuwa na 'maonyesho' ya kuvutia katika mechi...
Morocco yatinga 32 bora Kombe la Dunia, Haiti ikiaga USHINDI wa mabao 4-2 ilioupata timu ya taifa ya Morocco dhidi ya Haiti leo, umekifanya kikosi hicho kufuzu hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia, ikiwa ni taifa la kwanza kutinga hatua ya mtoano...
Dakika 90: Kuvunja urafiki wa Haaland, Bellingham WATU wengi wamewahi kucheza soka dhidi ya marafiki zao, lakini si wengi wanaoweza kusema walikutana uwanjani katika hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia. Hilo ndilo litakalowakuta Erling...
Imbeju Sauti Moja kunogesha CRDB Bank International Marathon 2026 BENKI ya CRDB kupitia kampuni tanzu yake ya CRDB Bank Foundation, imezindua rasmi msimu wa saba wa CRDB Bank International Marathon 2026, utakaofanyika Agosti 2026 katika viwanja vya TTCL...
Uswisi yatinga 16 bora Kombe la Dunia, Algeria ikiaga mashindano TIMU ya taifa ya Uswisi imekata tiketi ya kucheza hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Algeria maarufu kama Les Fennecs.