Sababu zilizoziangusha timu saba za Afrika Kombe la Dunia
HAKUNA kulala! Fainali za Kombe la Dunia 2026 zimeingia katika hatua ya 16 bora, ambapo tayari mechi mbili za kwanza zilipigwa usiku wa kuamkia leo, Canada imekiwasha dhidi ya Morocco, huku...