Hatima ya Ubingwa La Liga, vita ya nne bora na msukosuko wa kushuka daraja MZUNGUKO wa 34 wa Ligi Kuu Hispania, La Liga unaopigwa mwishoni mwa wiki hii unaweza kushuhudia ubingwa ukiamuliwa kwa kiasi kikubwa na nafasi nyingine ya Ligi ya Mabingwa kuthibitishwa, ambapo...
Man United bado inataka kumuuza Rashford MANCHESTER United haina mpango wa kumrudisha tena Marcus Rashford, 28, kwenye kikosi chao cha kwanza msimu ujao atakapomaliza mkopo wake Barcelona.
PRIME Nyuma ya pazia kutimuliwa kwa Pedro Yanga KLABU ya Yanga, imetangaza kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves ikiwa imepita takribani miezi mitano na siku 19 tangu atambulishwe kikosini hapo, huku nyuma ya uamuzi huo...
Rashford, Barcelona mambo yapo hivi BARCELONA inapambana kumbakisha mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Marcus Rashford, 28, kwa mkopo msimu ujao badala ya kulipa ada ya Pauni 26 milioni inayohitajika ili...
EPL na hesabu za vidole Ligi ya Mabingwa Ulaya NAFASI za kushiriki mashindano ya Ulaya kutoka Ligi Kuu England msimu ujao bado zinabadilika-badilika, jambo linaloacha msisimko mkubwa hadi siku ya mwisho ya kipute cha ligi hiyo bora zaidi...
Enzo Fernández aingia anga za Manchester City MANCHESTER City inafikiria kufanya jaribio la kumsajili kiungo wa Chelsea na timu ya taifa ya Argentina, Enzo Fernández, 25, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Nyuma ya vita ya ubingwa Ufaransa TAYARI bingwa wa Ligi Kuu Ujerumani (Bundesliga) ameshafahamika, Bayern Munich, lakini timu katika ligi zingine zinaendelea kupambana kusaka ubingwa na lolote linaweza kutokea kati ya sasa mwisho...
Murillo atajwa Man United MANCHESTER United imeongeza jina la beki wa kimataifa wa Brazil, Murillo Santiago Costa dos Santos, 23, kwenye orodha ya wachezaji inaopambana kuwasajili katika dirisha lijalo la usajili la...
Shai alivyovunja rekodi ya miaka 63 HABARI kubwa kwa sasa duniani katika medani za kikapu ni juu ya nyota wa Oklahoma City Thunder, Shai Gilgeous-Alexander alivyofanikiwa kuweka rekodi mpya katika Ligi ya Kikapu Marekani (NBA)...
Fabregas aivusha Como Ulaya, vita yaendelea Serie A na Ligi kubwa Ulaya! KOCHA Cesc Fabregas ameendelea kuandika historia mpya ndani ya soka la Italia baada ya kuiwezesha Como 1907 kufuzu kushiriki michuano ya Ulaya msimu ujao kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya...