PRIME Nabi apewa saa 48 Kaizer Chiefs ALIYEKUWA kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ndani ya saa 48 mustakabali wake na Kaizer Chiefs utakuwa umejulikana. Nabi aliachana na Yanga baada ya kumalizika kwa msimu uliopita akiwa...
Azam yaing'oa Simba, sasa kuivaa TZ Prisons AZAM FC jana usiku imehitimisha mechi za makundi kwa kuifumua Simba kwa mabao 2-0 na kuifungasha virago kwenye Ligi Kuu ya Vijana U-20 inayoendelea katika Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es...
PRIME Ilikuwa ni lazima wapewe Thank You SIMBA imetangaza kuacha wachezaji nane, huku Yanga ikiwatema wanne, ilihali Azam ikiwapiga chini nyota saba akiwamo aliyekuwa kocha mchezaji, Aggrey Morris aliyedumu katika kikosi hicho kwa muda...
Sababu ya Mkude kutemwa Simba yatajwa SIMBA SC ikiendeleza kutoa 'Thank You' kwa wachezaji wake kikosini , leo imetoa tamko kuhusu kiungo Jonas Mkude aliyedumu miaka 13. Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally...
PRIME Malone aingia anga za Simba KLABU ya Simba iko kwenye mazungumzo na CotonSport ya Cameroon ili kupata saini ya beki wa kati, Che Fondoh Malone. Beki huyo anatajwa kuhitajika na miamba hiyo hapa nchini kwa ajili ya kuongeza...
Yanga yatenga bajeti ya Sh20 bilioni msimu ujao KLABU ya Yanga imetenga bajeti ya Sh20.8 bilioni kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano mbalimbali ya ndani na ya kimataifa. Akizungumza katika mkutano mkuu wa klabu hiyo Mkurugenzi wa Fedha...
PRIME Vigogo hawa watatoboa Kimataifa TIMU za Simba, Yanga kuanzia Agosti 18 zitaanza mtihani mpya wa kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku Azam na Singida zikishiriki Kombe la Shirikisho Afrika. Hii ni michuano mikubwa...
Yanga yamtambulisha mrithi wa Nabi KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi Kocha Mkuu, Miguel Angel Gamondi kuinoa timu hiyo msimu ujao akichukua nafasi ya Nasreddine Nabi aliyemaliza mkataba wake. Kocha huyo raia wa Argentina...
Chalamila aibua shangwe mkutano mkuu wa Yanga MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameibua shangwe kwa Wanachama waliohudhuria katika mkutano mkuu wa klabu hiyo unaofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere...
Yanga yavuna Sh7 Bilioni za wadhamini kwa mwaka KLABU ya Yanga imevuna kiasi cha Sh7 bilioni kwa mwaka kutokana na wadhamini mbalimbali wa timu hiyo.