Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8268 results for Mwandishi Wetu :

  1. MTU WA MPIRA: Hata Simba wangemuuza Mayele timu kubwa

    Berkane. Simba ikavuna mabilioni ya fedha kwa mauzo yao. Sisemi kama Mayele atafanikiwa ama atafeli huko anakokwenda ila ni wakati sahihi kwake kupata timu kubwa zaidi ya Yanga. Na yeye ameliona...

  2. Mayele hakutamba kwa timu hizi Ligi Kuu Bara

    Mshambuliaji mpya wa klabu ya Pyramids, Fiston Mayele atakumbukwa Yanga kwa ubora wake wa kupachika mabao na katika misimu miwili aliyokaa Jangwani amecheka na nyavu mara 33 kwenye Ligi Kuu...

  3. Bangala alivyowang'oa Muguna, Ndala Azam!

    "BANGALA karibu Mbagala," ndivyo lilivyosomeka chapisho la Azam FC kwenye ukurasa wake wa Instagram lilitangaza ujio wa kiraka Yannick Bangala kutoka Yanga SC. Bangala amesaini mkataba wa miaka...

  4. CAF yaipa Yanga siku tatu

    MWANASPOTI linajua dili la mshambuliaji Mcameroon, Emmanuel Mahop limeingia mdudu na limebakiza sekunde chache kabisa kuishia njiani. Amewagawa mabosi wa Yanga ambapo wengi wameingiwa mashaka...

  5. PRIME Bangala: Mrithi wa Mayele ana mtihani Yanga

    KUTOKANA na kiwango alichokionyesha Fiston Mayele ndani ya misimu miwili akiwa Yanga ni kama ameacha mtihani mkubwa kwa mrithi wake kuhakikisha anaisaidia klabu kwenye nyakati zinazohitaji majibu.

  6. Simba mikakati mipya msimu ujao

    Bongo, baada ya ile ya kwanza dhidi ya  Zira FC iliyomalizika kwa sare ya bao 1-1 huku bao pekee la Simba likiwekwa nyavuni na Kibu Denis. "Tunahitaji mechi mbili nyingine kabla ya kurudi...

  7. PRIME Bangala: Maxi kiboko yao

    YANNICK Bangala ambaye amekiri yuko kwenye hatua za mwisho kuachana na Yanga, ameangalia usajili wa mastaa 7 wapya waliotambulishwa mpaka sasa akasema winga Maxi Nzengeli atawakalisha wengi...

  8. PRIME Yanga yamshusha mrithi wa Mayele Dar

    MASHABIKI wa Yanga wanadai kitu pekee ambacho kimesalia kwenye kikosi cha ni kusajiliwa kwa mshambuliaji anayejua kufunga na hilo nalo limeisha baada ya mabosi wao kumshusha kimyakimya...

  9. PRIME Mrithi wa Mayele Yanga huyu hapa

    MASHABIKI wa Yanga huko mtaani na mitandao ya kijamii wanatamba kuwa mziki wa kusumbua msimu ujao na kama kawaida yao watabeba tena mataji, lakini kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi ametamka bado...

  10. PRIME Simba SC yaanza na sare Uturuki

    Klabu ya Simba leo Julai 24 imecheza mechi ya kwanza ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Zira FC inayoshiriki Ligi Kuu Azerbaijani kwenye uwanja wa Voneesortna uliopo mjini Bolu, Uturuki. Mechi...

Previous

Page 693 of 827

Next