Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Simba SC yaanza na sare Uturuki

Klabu ya Simba leo Julai 24 imecheza mechi ya kwanza ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Zira FC inayoshiriki Ligi Kuu Azerbaijani kwenye uwanja wa Voneesortna uliopo mjini Bolu, Uturuki.

Mechi hiyo imemalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1 huku bao la  Simba limefunga kupitia kwa Kibu Denis akimalizia pasi ya Saido Ntibazonkiza kipindi cha kwanza.

Bao la kusawazisha la Zira limefungwa na Rustam Ahmadzade akisawazisha dakika ya 63.

Simba inaendelea na kambi yake nchini Uturuki kujiandaa na msimu wa 2023 itakaposhiriki michuano ya ndani na ya kimataifa.