Rekodi kibao, Yanga ikitinga makundi Ligi ya Mabingwa HISTORIA imeandikwa tena. Baada ya usiku wa jana Yanga kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara ya pili mfululizo ikiing’oa CBE SA ya Ethiopia, huku Clatous Chama akiendelea...
PRIME Ligi ya Mabingwa Afrika: Yanga mikononi mwa vigogo YANGA imetinga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kishindo kwa msimu wa pili mfululizo ikiwa ni historia kwa klabu hiyo katika michuano hiyo ya CAF na sasa inasubiri kujua itapangwa na vigogo...
Red Arrows yaandika historia Kagame Cup 2024 MICHUANO ya Kombe la Kagame 2024 imefikia tamati jioni hii, kwa timu ya Red Arrows ya Zambia kutwaa ubingwa wa michuano hiyo baada ya kuifunga APR ya Rwanda kwa penalti 10-9 kwenye mchezo wa...
PRIME Yanga kupitisha panga lingine, yaleta watu wa kazi SEAD Ramovic ndiye kocha mkuu wa Yanga akichukua mikoba ya Miguel Gamondi aliyetimuliwa Oktoba 15 mwaka huu sambamba na msaidizi wake, Moussa N’daw.
Camavinga anauzwa, weka ofa yako ubaoni REAL Madrid imeripotiwa kufungua milango ya kumpiga bei kiungo Eduardo Camavinga kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi endapo kama kutakuwa na ofa nzuri ubaoni.
AMORIM: Kazi ngumu Man United inamlipa Sh21 bilioni kwa mwaka Ruben Filipe Marques Amorim. Si jina geni kwenye masikio ya mashabiki wa mchezo wa soka duniani.
PRIME Makipa Taifa Stars... Kuna tatizo kubwa Hivi karibuni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia alisema wanaandaa kanuni ambayo msimu ujao hakuna klabu ambayo itaruhusiwa kuwa na makipa wawili wa kigeni.
Steve Nyerere awauma sikio wanasiasa uchaguzi 2025 KAZI ya ‘kimbelembele’ ngumu jamani. Hayo ni maneno ya msanii wa Bongo Movie na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele ‘Steve Nyerere’, kutokana kuwepo kwake kwenye mambo...
Ishu ya Amorim, Rashford sio yeye tu MOJA kati ya mambo yanayoendelea England kwa sasa ni sakata la kocha Ruben Amorim na staa wake Marcus Rashford ambaye hivi karibuni aliweka wazi kwamba yupo tayari kuondoka na kwenda kutafuta...
Bao moja la Neymar Saudia lanunua viwanja 13 vya Mkapa NDO hivyo. Supastaa Neymar ameishtua dunia ya mchezo wa soka kwa maisha yake ya huko Saudi Arabia kwamba aliiuzia timu ya Al Hilal bao moja kwa zaidi ya Pauni 200 milioni baada ya kufunga mara...