PRIME Mechi 3 tu, Yanga yachana mkataba wa Maxi wakithibitisha ubora wao ndani ya muda mfupi kwenye kikosi hicho ambacho msimu huu kitacheza Ligi ya Mabingwa Afrika. “Wachezaji bora wameonekana na bado wako wengi tutawaboreshea masilahi yao...
PRIME Zahera amtega Ajibu Coastal Union WAANDISHI WETU WAGOSI wa Kaya, Coastal Union inaendelea kujifua kujiandaa na Ligi Kuu Bara inayoanza kesho, huku kocha wa timu hiyo, Mwinyi Zahera akimtega Ibrahim Ajibu akitaka kumpa...
PRIME Bangala: Huku Azam raha sana KIUNGO mpya wa Azam FC, Yannick Bangala Litombo muda mwingi ameonekana kuwa na furaha na wachezaji wenzake kisha akafunguka Azam kuna raha sana. Bangala ambaye amesajiliwa na Azam FC akitokea...
PRIME Kilichomng'oa Msemaji KMC ulikuwa umemalizika, lakini kulikuwepo na mchakato wa kumwongeza mkataba mpya lakini imeshindikana kutokana na sababu za ndani ambazo hazikuwekwa wazi. “Ni kweli hatakuwa miongoni mwa wafanyakazi...
Parimatch yaidhamini Mashujaa FC utawasaidia kupunguza changamoto za uendeshaji wa klabu. “Tunawashukuru wadhamini wetu Parimatch kwa kuja kuungana nasi katika kuendeleza soka, Mashujaa ni timu ambayo imepanda daraja msimu...
PRIME Robertinho, Gamondi mtegoni Tanga LEO Uwanja wa Mkwakwani pale jijini Tanga kipyenga cha kwanza kwa ajili ya mechi za Ngao ya Jamii kuashiria kufunguliwa kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2023/24 kitapulizwa na Yanga itakuwa...
PRIME PUMZI YA MOTO: Azam usingizi wa kibongo, ndoto za kizungu FC kuwahi kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu. Anukuliwe Mohamed Seif ‘King’, kocha wa Azam FC tangu inaanzishwa hadi inapanda Ligi Kuu. Wachezaji wapya wanaosajiliwa au watoto wa akademi wanaokua pale...
Mastaa Simba, Yanga na Singida FG hatihati kuikosa Ngao ya Jamii Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema wachezaji 10 wa Azam pekee ndio majina yao yamewasilishwa vibali vyao na wanastahili kucheza michezo ya Ngao ya Jamii 2023 mkoani Tanga. Katika taarifa...
Che Malone mtu haswa... . Simba ilikuwa na malengo mawili , moja kuwaonyesha wapenzi wake sura halisi ya usajili wao na pili kuonyesha nini wamekiandaa kuelekea msimu huu unaoanza ambapo wachezaji wake watashiriki...
Msimu mpya Ligi Kuu waja na neema Zikiwa zimesalia siku chache kuanza kwa msimu mpya wa michuano ya kabumbu ulimwenguni kote, Kampuni ya michezo ya kubashiri Parimatch Tanzania imekuja na kampeni yao ya Amsha Mzuka yenye...