Kazadi aisaka rekodi ya Nchimbi UNAKUMBUKA Ditram Nchimbi alicheza mwaka mzima bila kufunga bao katika Ligi Kuu Bara akiwa na Yanga? Sasa nyota wa Singida Big Stars, Francis Kazadi anaanza kuinyemelea rekodi hiyo kutokana na...
Timu 64 kuchuana Bodaboda Cup Dar Dar es Salaam. Ili kuhakikisha sekta ya usafiri wa bodaboda inatambulika vyema kwa jamii, Chama cha Madereva na Wamiliki wa Pikipiki Mkoa wa Dar es Salaam (CMPD) kimeandaa mashindano ya soka...
PRIME Ukweli wa Robertinho HUKU kwenye mitandao ya kijamii kuna kelele nyingi za mashabiki na wapenzi wa Simba juu ya Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’. Wanasema Simba inashinda mechi zake, lakini hawana imani na kocha...
Simbu ashindwa kumaliza mbio mashindano ya dunia Wakati Mganda, Victor Kiplangat akitwaa dhahabu, Alphonce Simbu ameshindwa kumaliza mbio ya marathoni kwenye mashindano ya dunia yanayofungwa leo nchini Hungary. Katika mbio hiyo ya wanaume...
Pira la Gamondi linatisha Yanga WAKATI Nabi alipotangaza kuondoka Yanga na kisha benchi lake zima la ufundi likamfuata katika mlango wa kutokea pamoja na straIka kinara Fiston Mayele, wengi walitaka kujua warithi wao watafanya...
Robertinho kufyeka watatu Simba asiyejituma na kupambana kwa ajili ya maslahi ya klabu kwani hii ni timu kubwa na ina malengo makubwa ambayo watu wa kuyatimiza ni wachezaji, uongozi, pamoja na sisi benchi la ufundi,” alisema...
PRIME Chuma kinakuja Yanga, TFF yafafanua kila kitu KUNA hesabu ngumu mabosi wa Yanga wanazipiga juu ya kukiboresha kikosi chao hasa juu ya kuiongezea makali safu yao ya ushambuliaji na kuna mastraika watatu wanaumiza vichwa vya vigogo wa timu...
PRIME Kumekucha, Lilepo ajiondoa Al Hilal WAKATI Yanga ikivumishwa kumhitaji mshambuliaji wa Al Hilal, Makabi Lilepo mwenyewe ameshtua baada ya kujiondoa kwenye kambi ya timu hiyo akishinikiza kutaka kuondoka klabuni hapo.
Yanga yazitaka rekodi Ligi ya Mabingwa Kesho katika uwanja wa Azam Complex utachezwa mchezo wa ligi ya Mabingwa barani Afrika mchezo utakao wakutanisha mabingwa wa ligi ya Djibouti ASAS na mabingwa wa ligi ya Tanzania Yanga.
TFF isiruhusu tena aibu hii TPL JUZI Agosti 16 usiku kulikuwa na mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) kati ya Azam FC na Tabora United (zamani Kitayosce) ambao ulianza kuchezwa saa moja usiku katika Uwanja wa Azam Complex.