Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8268 results for Mwandishi Wetu :

  1. Tanzania, Uganda na Kenya kuandaa Afcon 2027

    Rasmi Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepitisha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa michuano ya Afcon 2027. Nchi hizo ziliwasilisha ombi walilobatiza jina la Pamoja Bid na itakuwa...

  2. PRIME Mitego miwili Yanga hii hapa

    YANGA haijaruhusu bao lolote mpaka sasa kwenye ligi na inachofanya ni kuendelea kushusha vipigo vyenye ujazo tofauti lakini mitego miwili inayowapa shida wapinzani imejulikana. Ikiwa imecheza...

  3. Azam FC inakosa 'ukorofi' wa kimpira

    Mpira licha ya kuwa ni mchezo wa kiungwana lakini unahitaji aina fulani hivi ya ukorofi ili mambo yaende. Hapa ndipo unapokuja msemo maarufu wa kiingereza wa ‘take one for the team’ ambao maana...

  4. Gamondi, Robertinho ni rekodi na heshima

    VIKOSI vya Simba na Yanga zinaendelea kujifua kwa ajili ya mechi za marudiano za Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kila moja kutoka kupata ushindi kwenye mechi za Ligi Kuu Bara, huku makocha wa...

  5. PRIME Simba yavunja rekodi yake

    Yanga, Azam FC na Simba zinafukuzana kwa ukaribu katika mbio za ubingwa msimu huu kwa kushinda mechi zote tatu za kwanza za Ligi Kuu Tanzania Bara, ikiwa ni mara ya kwanza wa Wekundu wa Msimbazi...

  6. PRIME Gamondi ayataja mabao matano

    YANGA imepata ushindi mwembamba wa kwanza katika Ligi Kuu Bara msimu huu, ikiifunga Namungo kwa bao 1-0 na kurejea kileleni mwa msimamo, lakini kocha wake, Miguel Gamondi akawatega wapinzani huku...

  7. PRIME KIBEGI CHA TICHA: Singida BS moyo wa kujitoa umewapa matokeo

    BAADA ya wawakilishi wetu wawili waliokuwa ugenini kwenye michuano ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kutafuta nafasi kuingia makundi kwa Simba kulazimisha sare Zambia dhidi ya Power...

  8. Mpepo matumaini kibao Zambia

    MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Eliuter Mpepo ambaye amejiunga na Tridents FC amejawa na matumaini ya kufanya makubwa akiwa na timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Zambia kama ilivyokuwa wakati akiwa na...

  9. Simba Dar? Labda itokee tu

    MASHABIKI wa Simba bado hawaamini kama walishindwa kutoka na ushindi dhidi ya Power Dynamos ya Zambia kwenye mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kama watasoma...

  10. Julio, Chambua kusaka vipaji mikoa minne

    WACHEZAJI wa zamani, Jamhuri Kihwelo, Sekilejo Chambua wamepewa kazi ya kusaka vipaji katika mikoa minne kwa lengo la kuunda kikosi cha wachezaji 22. Zoezi la utafutaji wa wachezaji hao wenye...

Previous

Page 688 of 827

Next