Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9037 results for Mwandishi :

  1. Nabi abadili mfumo, ataka mabao Bamako

    YANGA leo inashuka na mfumo mpya wa hesabu za kuhakikisha kipa wao anakuwa katika ulinzi mkali, lakini hapohapo wakaongeza akili mpya ya kutaka mabao dhidi ya Real Bamako. Yanga katika mazoezi...

  2. PRIME Zahera amtega Ajibu Coastal Union

    WAANDISHI WETU WAGOSI wa Kaya, Coastal Union inaendelea kujifua kujiandaa na Ligi Kuu Bara inayoanza kesho, huku kocha wa timu hiyo, Mwinyi Zahera akimtega Ibrahim Ajibu akitaka kumpa...

  3. Simba: Kaenda Kaizer Chiefs itakuwa sisi!

    MJUMBE wa Bodi ya Simba, Zakaria HansPope amesema kama Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imecheza fainali ya Afrika msimu huu basi wao ni jambo la kuvuta muda tu msimu ujao. Alisema kuwa kitendo...

  4. Yoyote aje tu! Gomes kiroho safi

    MASHABIKI wa Simba wanahesabu saa tu kabla ya leo jioni kujua chama lao litavaana nani kwenye mechi za robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika wakati droo ya hatua hiyo itakapofanyika jijini...

  5. Krosi za mabao zimerudi Yanga

    KIWANGO cha Yanga dhidi ya Mbeya City kimemkera Kocha Nasreddine Nabi, lakini akasisitiza kwamba baada ya mechi yao na Biashara wana jambo lao. Kocha huyo ambaye tangu juzi amewarejeshea mastaa...

  6. Mabosi Simba waapa sasa ni mwendo wa kugawa dozi

    SIMBA haina matokeo mazuri katika mechi zake tatu za Ligi Kuu Bara ingawa wikiendi iliyopita walirejesha ubabe wao nyumbani wakiipasua Dar City na kudhihirisha bado jamaa wana utamu wao. Kama...

  7. Januari ya Simba, Yanga

    TAKWIMU za matokeo ya mechi zilizopita za Ligi Kuu Bara zilizochezwa mechi Januari zinailazimisha Yanga kufanya kazi ya ziada ili iweze kuwapiku watani wao Simba na kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu...

  8. PRIME Chuma kinakuja Yanga, TFF yafafanua kila kitu

    KUNA hesabu ngumu mabosi wa Yanga wanazipiga juu ya kukiboresha kikosi chao hasa juu ya kuiongezea makali safu yao ya ushambuliaji na kuna mastraika watatu wanaumiza vichwa vya vigogo wa timu...

  9. Pablo aja na mkakati mzito Simba

    KOCHA Pablo Franco mjanja sana, kabla ya kuvaana na USGN ya Niger aliamua kuja na mkakati mzito kwa kuwachomoa nyota watatu wa kikosi hicho katika kambi ya timu hiyo, akiwamo nahodha John...

  10. Umewaona GSM, Tarimba? Wana jambo leo

    LEO kabla ya Mashetani Wekundu, Man United haijashuka Uwanja wa St James Park kuvaana na Newcastle United, mashabiki wa Yanga tayari watakuwa na matokeo ya pambano la timu hiyo dhidi ya TP...

Previous

Page 685 of 904

Next