PRIME SENYO: Kinyozi wa mastaa EPL, anayepiga pesa ndefu MBALI ya uwezo wao mkubwa wanaoonyesha kiwanjani moja kati ya mambo ambayo wachezaji wengi wanazingatia ni muonekano wao.
Mambo matano muhimu gemu 3 NBA KATIKA mchezo wa tatu wa mchuano wa kwanza wa hatua ya mtoano wa NBA kati ya Los Angeles Clippers na Denver Nuggets, hali imebadilika.
PRIME Dube aandaliwa mkataba mnono GUMZO la mshambuliaji wa Azam, Prince Dube, aliyeamua kubwaga manyanga na kutaka kuachana na timu hiyo kabla ya mkataba kumalizika sasa limechukua sura mpya baada ya kupewa ofa. Wakati wengi...
PRIME Mamelodi yaingia ubaridi, yalikataa basi la Yanga Benchi la ufundi la Yanga linaendelea na maandalizi ya mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi itakayopigwa Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, lakini jana...
Ni fainali ya Ufaransa na Hispania Olimpiki leo Paris. Ufaransa ikiwa chini ya kocha Thierry Henry leo inainga uwanjani kwenye mchezo wa fainali wa Olimpiki dhidi ya Hispania, kwenye mchezo unaosubiriwa kwa hamu kubwa. Awali mashabiki wa...
Hapa ndiyo lilipo anguko la Simba Mchezo wa saba wa ngao ya jamii baina ya watani wa jadi wa Tanzania, Yanga na Simba, umeamuliwa na bao la dakika ya 43 la Mbappe wa Kindu, Maxi Nzengeli.
Jide ni Commando zaidi ya Binti Machozi - 2 JUDITH Wambura Mbibo kesho anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, akitimiza umri wa miaka 41. Ni mtu mzima. Lakini amepitwa miaka miwili na Shakira mwenye umri wa miaka 43, na amezidiwa miaka 10 na...
Adebayor kuja Yanga, labda kuwa mfadhili AKILI ya kuzaliwa ina umuhimu wake kama ilivyo akili ambayo tunatengezewa darasani. Binadamu amepewa uwezo wa kutumia akili yake ya kuzaliwa ili kujiongoza kwa mambo ya kawaida.
Lazima uyaone kwenye filamu za Nigeria LICHA ya kwamba filamu za Nigeria maarufu kwa jina la Nollywood ndizo zinazoongozwa kwa mauzo barani Afrika, bado kuna tofauti kubwa kati ya filamu hizo na zile za Marekani Hollywood.
Yanga yazuia usajili wa Sh.4 bilioni za Merreikh LICHA ya kuanza benchi katika mechi dhidi ya Yanga, Stephen Worgu wa El Merreikh ya Sudan ana thamani kuliko wachezaji wote wa Tanzania.