Pwani, Dar zilivyochuana mashindano ya riadha wa pili akitumia sekunde 11.78 wote wa Pwani na Gipson Mnenei wa Dar es Salaam alimaliza wa tatu kwa sekunde 12,09. Katibu wa Riadha mkoa wa Dar es Salaam, Samwel Mwera amesema huo ni mwanzo wa...
Jahazi la Ruvu lazidi kuzama MAJANGA yamezidi kuiandama Ruvu Shooting, baada ya jahazi la timu hiyo kuzama tena juzi licha ya kuwa nyumbani mjini Iringa kwa kufungwa mabao 2-1 na Stand United na kuweka mguu mmoja wa kushuka...
Waziri Ndumbaro alifanya utani ishu ya pasipoti mechi ya Yanga, Mamelodi , 2024 akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita ndani ya miaka mitatu. “Alichozungumza Waziri alikuwa anahamasisha uzalendo wa timu zetu na...
TFF yakwepa mtego wa Ndumbaro hiyo na kuondoka haraka kurejea Afrika Kusini mara baada ya kumalizika kwa mechi baina yao. "Tunafahamu kwamba ipo hoteli moja iliyo jirani na ufukwe wa bahari ya Hindi ambayo ndio msafara...
Saido, Chama wapewa Mwarabu Mashabiki wa Simba kwa sasa hawana kitu kingine wanachokifikiria zaidi ya mechi ijayo ya CAF. Kwa sasa wanahesabu siku, huku wakiwa na mzuka mwingi wa kutaka kuishuhudia timu hiyo ikiivaa Al Ahly...
PRIME Mamelodi yaingia ubaridi, yalikataa basi la Yanga Benchi la ufundi la Yanga linaendelea na maandalizi ya mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi itakayopigwa Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, lakini jana...
Ken Gold , Pamba ngoma nzito Championship Ligi ya Championship imefikia patamu baada ya jana kupigwa mechi mbili, leo kuna kazi nzito wakati kinara wa msimamo wa ligi hiyo, KenGold itakapoikaribisha Pamba Jiji katika pambano litakalotoa...
JIWE LA SIKU: Kibu nini kimemkuta Simba! KIBU Denis, Kibu Denga, Kibu Mkandaji. Yote ni majina maarufu ya staa huyu wa Simba ambaye mambo yake pale Msimbazi yanaonekana kubadilika, huku mkataba wake ukiisha mwisho wa msimu huu. Nyota...
Taifa Stars imepata kipimo sahihi Kesho timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itacheza mchezo wa kirafiki wa mashindano maalumu ya Shirikisho la Soka duniani (Fifa), Fifa Series 2024.
Kocha Tabora United ahesabiwa saa NI suala la muda tu lililobakia kwa Tabora United ya mjiani Tabora kutangaza uamuzi mgumu wa kuachana na kocha Goran Kopunovic kutoka Serbia kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu. Habari za...