PRIME Kumekucha Yanga, Ramovic ataja usajili wake YANGA inacheza na Namungo Jumamosi hii kwenye mechi ya ligi. Licha ya kwamba imekuwa na matokeo mabovu hivi karibuni, lakini haikuwahi kupoteza kwa Namungo katika mechi ya ligi zaidi ya sare tatu...
Yale ya Pogba yamkuta Mudryk wa Chelsea STAA wa Chelsea, Mykhailo Mudryk amepigwa marufuku kucheza soka na ripoti zinafichua huenda akakabiliana na adhabu ya kufungiwa miaka minne baada ya kufeli kwenye vipimo vya matumizi ya dawa...
WAKO WAPI? Waliibuka ghafla kisha wakapotea KUWA namba moja ni jambo gumu, lakini kuendelea kuwa namba moja ni jambo guu zaidi, wahenga walisema.
Kuna shughuli nzito EPL, Man City yatajwa KATIKA kinyang’anyiro cha Ligi Kuu England, baada ya ishu ya ubingwa, kuna vita nyingine inaamuliwa. Nani atashinda, ndiyo hadi filimbi ya mwisho.
PRIME Dabi ya Dar es salaam, usiyempenda kaja Inapokuja mechi kubwa ya dabi yoyote duniani kuna vitu vingi ambavyo hutazamwa katika kuuzungumzia ukubwa wa mchezo husika.
Ratcliffe Man United ni sehemu tu ya anavyomiliki, ni tajiri haswa MOJA ya stori kubwa katika nchini wiki iliyopita ni ujio wa bilionea mmiliki wa klabu ya Manchester United ya Ligi Kuu England, Jim Ratcliffe.
Ulaya kwa motooo! Arsenal na Chelsea LIGI Kuu za Ulaya ni mchakamchaka chinja. Si Ligi Kuu England, La Liga, Bundesliga, Serie A wala Ligue 1 kwenye afadhali, kote ni moto.
BONGO MUSIC FACTS: Ingekuwa vipi Danny Msimamo bila Motika Records? Danny Msimamo katika safari ya muziki alipita studio nyingi ila Motika Records na Aigies Records ndizo zimebeba historia kubwa kwake maana nyimbo zake nyingi maarufu zimetengenezwa hapo. Fahamu...
Curry: Rekodi ya mipira 4,000 nyavuni WIKIENDI hii imekuwa ya kuvutia katika historia ya NBA. Mashabiki wa Golden State Warriors waliokuwa wamefurika kwenye Uwanja wa Chase Center walishuhudia tukio la kihistoria kwa Stephen Curry...
Hawa hapa wakali wa kutupia NBA KATIKA mpira wa kikapu, hakuna silaha kali kama uwezo wa mchezaji kufunga kwa usahihi - iwe ni kupitia mapigo ya karibu na kikapu au kwa mitupo ya mbali ya pointi tatu.