Mshindi BSS kuondoka na kiwanja, Startimes kurusha mubashara BARAZA la Sanaa Taifa (BASATA) limesifu juhudi zinazofanywa na Mkurugenzi wa shindano la Bongo Star Search (BSS), Rita Paulsen kwa kuzalisha vipaji vya vijana wengi nchini kupitia sanaa ya...
Pazi mambo magumu, bado moja PAZI jana usiku imepoteza mchezo wake dhidi ya Cape Town Tigers pointi 95-87 ikiwa ni mchezo wao wa pili wa kuwania kufuzu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mchezo wa mpira wa kikapu...
Gamondi alia na umakini, hesabu kwa Ahly Wakati Yanga ikirejea leo alfajiri ikitokea Algeria, kocha wao Miguel Gamondi amesitisha kutoa mapumziko kwa wachezaji wake huku akifichua siri ya kupoteza mechi yao dhidi ya CR Belouizdad juzi...
Mayele katikati ya mtego STRAIKA wa Yanga, Fiston Mayele anatarajiwa kuiongoza Yanga kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold itakayopigwa jioni ya leo Azam Complex, huku akikabiliwa na mtihani wa kufuta ukame...
EXCLUSIVE: Gomes afunguka.. kuna watu wameonewa INATIA huruma. Ukiwasikiliza masimulizi yao makocha waliofutwa kazi na klabu ya Simba jana, utawahurumia, hasa Adel Zrane ambaye alilia hadi macho yakamvimba.
Manji arejea na shangwe Yanga Manji akiwa madarakani Yanga walitwaa ubingwa wa Ligi Kuu mara tatu mfululizo kuanzia 2014-15 hadi 2016-17.
Kisa Simba, Nabi atimua Haruna, Lamine MWANASPOTI linajua kwamba Kocha Nabi Mohammed wa Yanga, amewaambia viongozi jana kwamba Haruna Niyonzima na Lamine Moro hataki kuwaona kambini kuelekea mechi ya Jumamosi dhidi ya Simba. Nabi...
Nabi aishika pabaya Simba YANGA juzi ilikuwa uwanja wa nyumbani ikipambana na Kagera Sugar ikiendelea kupunguza hatua ya kufuata taji lao la pili la ubingwa mfululizo na baada ya kumaliza mechi hiyo, akili ya kocha wao...
Wapya Saba kambini Simba, kupaa wiki hii Morocco BAADA ya mapumziko mafupi waliyopewa na benchi lao la ufundi, nyota wa Simba wakiwamo wale wapya waliosajiliwa hivi karibuni, wanatarajiwa kuliamsha dude upya kuanzia leo kabla ya kusafiri kwa...
Ambani, Juma hatushuki msimu huu Ikiwa zimesalia mechi tano Ligi Kuu ya wanaume ya FKFPL msimu huu wa 2021/22 kukamilika timu ya Wazito Fc na Vihiga Bullets zipo taabani kushuka daraja . Kocha wa timu ya Wazito Fred Ambani na...