Ronaldo na kilio cha mtu mzima UKIONA mtu mzima analia mbele za watu ujue kuna jambo...' Ndicho kilichoonekana kwa chozi la mshambuliaji wa Cristiano Ronaldo baada ya kukiri hili ilikuwa Kombe lake la Dunia la mwisho, lakini...
Messi aibeba Argentina, yatinga robo fainali dakika za jioni BINGWA mtetezi wa Kombe la Dunia, Argentina, imeonyesha kwa mara nyingine kuwa ni moja ya timu hatari zaidi duniani baada ya kutoka nyuma kwa mabao mawili na kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya...
Enzo avunja ukimya wa hatma yake ya kutua Madrid KIUNGO wa Chelsea, Enzo Fernandez amekataa kuzungumzia hatma yake katika klabu hiyo huku tetesi za kuhusishwa na Real Madrid zikiendelea kushika kasi katika dirisha hili la usajili.
Norway yatimka hotelini kabla ya kuivaa England Timu ya taifa ya Norway imelazimika kuhama hoteli ya nyota tano mjini Miami, Marekani, baada ya kukaa usiku mmoja pekee, ikidai mazingira ya hoteli hiyo hayakuwa rafiki kwa maandalizi yao...
Mexico yatangulia 16 bora, ikiisubiri England au DR Congo WENYEJI wenza wa michuano ya Kombe la Dunia, Mexico imefuzu hatua ya 16 bora baada ya kuichapa Ecuador mabao 2-0, katika mechi kali na ya kuvutia ya hatua ya 32 bora.
Serena yamemkuta Wimbledon BINTI wa Serena Williams pamoja na mume wake walionekana wakitabasamu jukwani, licha ya gwiji huyo wa tenisi kuaga mashindano ya Wimbledon katika mchezo wa mchezaji mmoja.
Marekani yatinga 16 bora Kombe la Dunia, ikiifuata Ubelgiji WENYEJI wenza wa michuano ya Kombe la Dunia 2026, timu ya taifa ya Marekani, imefuzu hatua ya 16 bora baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0, dhidi ya Bosnia and Herzegovina.
Mexico yaanza kumtisha Thomas Tuchel WAKATI England ikifuzu hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia ambapo inakwenda kukabiliana na Mexico huko Mexico City, kocha mkuu wa kikosi hicho, Thomas Tuchel, amesema wanatarajia kukabiliana na...
Azam bingwa NBC U20 Youth League BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), mdhamini mkuu wa Ligi ya NBC kwa vijana chini ya miaka 20 (NBC U20 Youth League), imekabidhi kombe la ubingwa wa msimu wa 2025-2026 kwa Azam U-20 baada ya...
Mbappe: Yoyote aje awe Ubelgiji au Hispania NAHODHA wa Ufaransa, Kylian Mbappe amesema hana upendeleo wa mpinzani watakayekutana naye katika nusu fainali ya Kombe la Dunia, baada ya kuiongoza timu yake kuiondoa Morocco kwa ushindi wa mabao...