Ben White kukaa nje kwa miezi kadhaa KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta ameweka wazi beki wao, Ben White atakuwa nje ya uwanja kwa miezi kadhaa kutokana na majeraha.
Amorim: miwili inatosha KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesema ikiwa hatopata mafanikio ndani ya miaka miwili basi ataondoka kwenye timu hiyo.
Mastaa wanaokimbiza NBA Hata hivyo, moja kati ya mambo yanayoibuka kila wakati ligi hii inaposimama ni msimamo wa mchezaji bora wa msimu.
Vipigo vimembakisha Guardiola Man City Kocha wa Manchester City Pep Guardiola, amesema alikuwa amepanga huu uwe msimu wake wa mwisho na timu hiyo, lakini ameamua kuongeza mkataba mwingine kwa kuhofia kuiangusha timu hiyo baada ya...
Tanzania Prisons kimkakati zaidi HESABU walizonazo Tanzania Prisons ni kuhakikisha kwamba, hawataki kuwaruhusu wapinzani wao, JKT Tanzania kupata hata pointi moja watakapokutana wikiendi hii.
Kocha Muya: Tunarudi tukiwa imara KUPATA pointi moja katika mechi tatu za mwisho, kumemfanya Kocha wa Fountain Gate, Mohammed Muya kujitafakari huku akisisitiza lazima wafanye jambo.
PRIME Fadlu Davids aweka mtego Ligi Kuu Bara SIMBA waliitaka mechi ya leo dhidi ya Pamba Jiji na wamepatiwa baada ya hapo awali Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kuitoa katika tarehe iliyopangwa ili kuipa nafasi zaidi timu hiyo kujiandaa na...
PRIME Mashine ya kwanza Yanga dirisha dogo hii hapa Uwezo wa kufunga na kupiga pasi za mwisho alionao straika huyo unaonekana kuiridhisha Yanga ambayo ujio wake utasaidia safu yake ya ushambuliaji lakini pia kuwaongezea ushindani chanya...
Appiah: Nikiongea kitu kuhusu soka la Ghana, wataniua! MSHITUKO mkubwa katika kampeni zilizomalizika jana za kuwania kufuzu ushiriki wa fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 ni kushindwa kufuzu kwa mabingwa mara nne wa michuano hiyo mikubwa zaidi...
Lewandowski mbioni kustaafu BARCELONA, HISPANIA: MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Robert Lewandowski, ameweka wazi kwamba yupo mbioni kuachana na soka licha ya kuwa katika kiwango bora tangu ajiunge na Barcelona. Lewandowski...