Bruno aokoa mtu kwenye ndege MANCHESTER, ENGLAND: NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes aligeuka shujaa baada ya kuokoa maisha ya mwanamume mmoja kwenye ndege akiwa anakwenda jijini Lisbon, Ureno kwa ajili ya...
Arsenal yatoa msimamo kwa Alexander Isak MABOSI wa Arsenal hawana mpango wa kutoa kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya kumsajili straika wa Newcastle United na timu ya taifa ya Sweden, Alexander Isak, 25, katika dirisha hili la usajili...
Kumeanza kuchangamka! Monaco nayo yaingia kwenye vita kumnasa Rashford AS Monaco imeingia kwenye mbio za kumsajili Marcus Rashford huku klabu hiyo ya Ufaransa ikiwa na uhakika kwamba ina mkwanja wa kutosha wa kunasa huduma ya mshambuliaji huyo wa Manchester United.
NIONANYO: Mapinduzi Cup 2025 na funzo la fainali za CHAN MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi (Mapinduzi Cup) ambayo hufanyika kama sehemu ya maadhimisho ya Mapinduzi Matukufu ya visiwa vya Zanzibar yalitamatika juma hili.
Kauli ya Lisandro Martinez yamchekesha Carragher UKICHOKA watu wanakuchoka zaidi. Na hicho ndicho kinachotokea Manchester United baada ya gwiji wa wapinzani wao Liverpool, Jamie Carragher kuwapiga kijembe kwamba wachezaji wa Mashetani Wekundu...
Sikia! Florian Wirtz njia nyeupe dili la Man City MANCHESTER City imepata matumaini makubwa ya kumsajili kiungo wa Bayer Leverkusen na Ujerumani, Florian Wirtz kaitka dirisha la majira ya kiangazi mwakani baada ya Mkurugenzi wa Mtendaji wa...
Jina la Alexander Isak sasa latua kwa vigogo wa PSG PARIS St-Germain ipo tayari kulipa Euro 100 milioni ili kumsajili straika wa Newcastle United na Sweden, Alexander Isak, 25, katika dirisha lijalo ili kuboresha safu yao ya ushambiluaji.
JKU inautaka ubingwa, yampiga mtu wiki ZPL SAA 24 tu, tangu maafande wa KVZ walipoifumua Maendeleo 7-3 katika mechi ya Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), vinara wa ligi hiyo, JKU imejibu mpigo jioni ya leo Ijumaa kwa kuinyoosha Jamhuri ya Pemba...
Masharti mazito Simba… ulevi, fujo, jezi za Yanga marufuku SIMBA ilipaa jana jioni kwenda Misri kujiandaa na msimu mpya wa 2024-2025 lakini siku moja kabla ya safari hiyo, wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi wakabebeshwa zigo na tajiri wa klabu...
Caf yaanza na Coastal Union, Azam Shirikisho la Soka Afrika (Caf) limezitaka timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao kukamilisha usajili wake mapema.