Pesa ya Ronaldo katika Mitandao ya kijamii balaa STAA wa AL Nassr, Cristiano Ronaldo ambaye ni mshindi mara tano wa tuzo ya Ballon d’Or, ni mmoja wa watu wenye nguvu katika upande wa mitandao ya kijamii hivi sasa akiwa ndio mtu mwenye wafuasi...
Potter atambulishwa West Ham, afunguka BAADA ya kukaa nje ya gemu kwa mwaka mmoja na miezi 10, hatimaye kocha wa zamani wa Chelsea na Brighton, Graham Potter amepata shavu la kuinoa West Ham United akichukua mikoba ya Julien Lopetegui.
Ashley Young, mwanawe kuweka rekodi mpya England leo Leo usiku huenda ikatimia ndoto ya Ashley Young na mwanawe Tyler Young ya kuweka rekodi ya kucheza timu tofauti katika mechi moja pale Everton itakapokutana na Peterborough United kwenye michuano...
Jude Bellingam kinara wachezaji wenye thamani kubwa duniani Taasisi ya uchunguzi ya CIES Football Observatory imetoa orodha ya wachezaji 100 wenye thamani kubwa zaidi duniani kwa sasa, huku staa wa Real Madrid, Jude Bellingam akiwa namba moja.
Mzize anavyowafukuza Aziz, Pacome Yanga inajiandaa kusafiri kuifuata Al Hilal ya Sudan kwa mchezo wa raundi ya tano ya kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika ili kuisaka tiketi ya kupenya kwenda robo fainali ya michuano hiyo kwa...
Spurs yaichapa Liverpool nusu fainali ya kwanza Carabao Tottenham imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Liverpool katika nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Carabao iliyochezwa Uwanja wa Tottenham Hotspur usiku wa kuamkia leo Januari 9, 2025.
Rosicky ataka ubosi Arsenal STAA wa zamani wa Arsenal, Tomas Rosicky anaripotiwa kuwa kinara kwenye mbio za kufukuzia nafasi ya kuwa mkurugenzi mpya wa michezo wa timu hiyo.
Elon Musk afikiria kuinunua Liverpool BABA wa bilionea Elon Musk amefichua kwamba mwanaye huyo, ambaye ni tajiri Na.1 duniani anataka kuinunua klabu ya soka ya Liverpool.
SI MCHEZO: Mzize apenya 25 za Gamondi, Ramovic YANGA inajiandaa kusafiri kuifuata Al Hilal ya Sudan kwa mchezo wa raundi ya tano ya kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika ili kuisaka tiketi ya kupenya kwenda robo fainali ya michuano hiyo kwa...
De Bruyne kujiunga timu haijacheza mechi KIUNGO, Kevin De Bruyne inadaiwa kwamba yupo kwenye hatua za mwisho kabisa za kujiunga na timu ambayo haijawahi kucheza mechi hata moja.