Tabora United yapewa mwamuzi 'mtata' dhidi Simba Presha ya mchezo wa Tabora United dhidi ya Simba inazidi kupanda mdogondogo na taarifa ya kushtua ni kwamba mchezo huo utaamuliwa na mwamuzi Amina Kyando ambaye hana rekodi nzuri na wenyeji wa...
Staa wa Arsenal afutiwa kadi nyekundu KADI nyekundu aliyoonyeshwa mchezaji wa Arsenal, Myles Lewis-Skelly imeripotiwa ilitolewa kimakosa na sasa adhabu yake imefutwa, FA imetangaza.
Tottenham, Arsenal zapania kuinasa saini ya Nico Williams TOTTENHAM na Arsenal zipo tayari kulipa Euro 58 milioni Athletic Bilbao kwa ajili ya kuipata saini ya winga wa timu hiyo na Hispania, Nico Williams.
PRIME Fadlu ashika wanne Simba SC SIMBA ilikuwa na ofa sita mezani kutoka timu tofauti zikihitaji wachezaji wake dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari 15, 2025 lakini kati ya hizo, ni mbili tu ambazo ilizikubali na nne...
Bondia Mnemwa aomba msaada wa matibabu ili arudi ulingoni Bondia Mohammed Mnemwa ameomba msaada kwa Serikali, vyama vya mchezo wa ngumi pamoja na wadau kumsaidia kulipa gharama za matibabu anayopatiwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.
Sowah atupia Singida ikitesti mitambo Arusha Singida Black Stars imeendelea kujifua ikiwa kambini mkoani Arusha na leo imejipima nguvu dhidi ya Mbuni na kushinda mabao 4-1.
POGBACK: Kibonzo cha Pogba cha Man United chashtua mashabiki ETI arudi, asirudi? Swali konki kwa mashabiki wa Manchester United juu ya kiungo wao wa zamani fundi wa boli, Paul Pogba.
Refa wa Arsenal apewa gemu ya Barca Ulaya MWAMUZI, Michael Oliver ataonekana tena uwanjani kucheza mechi ya soka licha ya kuripotiwa kutumiwa meseji za vitisho kutokana na tukio lake la kumtoa kwa kadi nyekundu nyota wa Arsenal, Myles...
Ronaldo amtaka Casemiro fasta Al Nassr SUPASTAA, Cristiano Ronaldo ametaka mabosi wa Al Nassr kufanya kweli kumvuta Casemiro kwenye Saudi Pro League mwezi huu.
Neymar achaniwa mkataba Saudia SUPASTAA, Neymar amezifikisha mwisho zama zake kwenye soka la Saudi Arabia baada ya mkataba wake Al Hilal kusitishwa kwa makubaliano ya pande mbili.