Mgunda: Wagosi Mtuombee KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa anawaomba wadau na wapenzi wa Soka kuiombea timu hiyo ili iepuke kutoshuka daraja baada ya kuwa na matokeo ya kutoridhisha msimu huu licha ya...
Nini kinafuata kwa Gerald Mathias Mdamu? MSHAMBULIAJI mahiri wa klabu ya Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu amevunjika miguu yake miwili baada ya kupata ajali ya gari wakati timu hiyo ikitoka mazoezini mapema wiki iliyopita.
Chama aukubali mziki wa Azam, asema kazi ipo KIUNGO wa Simba, Clatous Chama 'Tripple C' amesema kuwa msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakuwa na ushindani kutokana na jinsi wachezaji wapya wanaosajiliwa. Chama ameyasema hayo wakati...
Saido apangua kikosi yanga, Yacouba agoma YANGA imetua jijini Arusha jana mchana tayari kwa mchezo dhidi ya Dodoma FC kesho. Kwa mara ya kwanza mshambuliaji wao mpya Said Ntibazonkiza ‘Saido’ ataanza kukipiga kwenye Ligi Kuu...
Waarabu noma! kumng'oa Nabi Yanga, Katumbi atia mkono KIKOSI cha Yanga kinaendelea na maandalizi ya mchezo ujao wa Kundi D la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Real Bamako ya Mali, huku kocha wa timu hiyo, Nasreddine Nabi akitoa...
CAF yagomea namba ya Saido KIUNGO fundi wa Simba, Said Ntibazonkiza ‘Saido’ amefunguka sababu za kuvaa jezi namba 39 na kusema kuwa CAF waliigomea namba aliyokuwa anaitaka awali. Saido ambaye amezoeleka kuvaa jezi namba...
Mugalu wa msimu huu mtampenda tu! BENCHI la Ufundi la timu ya Simba limekitazama kikosi kinachoendelea kujifua jijini Arusha na kuona jambo moja huu ni wakati wa kutamba kwa Chris Mugalu. Tangu kuanza kwa mazoezi ya Arusha...
Lagrouni aanza kibabe kuwapika mastaa Yanga KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujifua katika kambi ya timu hiyo iliyopo Avic Town, Kigamboni chini ya kocha mpya, Miguel Gamondi lakini taarifa mpya ni kwamba kocha huyo kutoka Argentina ameshusha...
Adebayor ajisogeza Simba, apania kimataifa STAA wa Berkane ya Morocco, Victorien Adebayor wa RS Berkane ya Morocco ameliambia Mwanaspoti kwa njia ya simu kuwa bado akili yake ni kuchezea Simba haswa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa...
Uzembe ulivyoiponza Simba, Kagera sare KWA msimu wa pili mfululizo, Simba imeshindwa kuondoka na pointi tatu kwenye Uwanja wa Kaitaba, dhidi ya Kagera Sugar, baada ya juzi usiku kulazimishwa sare ya bao 1-1 na wenyeji wao.