Bingwa wa NCAA kuongoza kambi maalumu Dar es Salaam KATIKA kuunga mkono dhamira ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ya kuendeleza michezo yote nchini kwa vitendo, Shule ya kimataifa ya Monti International School...
Utamu wa Mashemeji Dabi upo hapa! Mechi ya 99 ya Mashemeji Derby kati ya vigogo wa soka la Kenya, Gor Mahia na AFC Leopards inapigwa leo kwenye Uwanja wa Nyayo jijini Nairobi ikiwa ni mfululizo wa Ligi Kuu Kenya, msimu huu.
Argentina yatinga 16 Bora, Messi akiendeleza rekodi Argentina imefuzu hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Cape Verde katika mchezo wa kusisimua uliomalizika baada ya dakika 120 kwenye Uwanja wa...
Mbappe amlaumu Deschamps, awashushia lawama wenzake NAHODHA wa Ufaransa, Kylian Mbappe, amemlaumu kocha Didier Deschamps kwa mbinu alizozitumia pamoja na kuwakosoa wenzake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao, kufuatia kipigo cha mabao 2-0 kutoka...
Wanawake wanavyojishindia mamilioni kupitia SportPesa SportPesa Tanzania inasherehekea mafanikio makubwa baada ya wanawake wawili kutoka mazingira tofouti kushinda jumla ya Sh 857 milioni, jambo linaloonyesha kukua kwa ushiriki wa kinamama katika...
Man United, Ederson imeisha hiyo LONDON, England: Manchester United wamefikia makubaliano ya kulipa pauni35 milioni ili kumsajili kiungo wa Atalanta, Mbrazili Ederson.
Guler na Alonso wanaendelea kuwasiliana, uhamisho mgumu HATA kabla hajaanza rasmi kazi, kocha mpya wa Chelsea Xabi Alonso anaweza kujikuta matatani iwapo Real Madrid aliyoifundishwa kwa miezi saba na nusu itaamua kumchukulia hatua mahakamani, baada ya...