NGUMI JIWE ULAYA! Arsenal vs PSV, Liverpool vs PSG ARSENAL, Liverpool na Aston Villa zimeshafahamu wapinzani gani watakutana nao kwenye raundi ya 16 bora ya mtoano kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya upangaji wa droo iliyofanyika Ijumaa.
Balaa la Europa... Man United yapewa wabishi, Spurs kicheko KUMEKUCHA. Manchester United na Tottenham Hotspur zimeshafahamu njia zitakazopita katika kufukuzia ubingwa wa Europa League baada ya droo ya hatua ya mtoano ya 16 iliyopangwa Ijumaa huku kukiwa...
Wenye vita ya ubingwa England ni Liverpool, Arsenal MBIO za ubingwa kwenye Ligi Kuu England ni za farasi wawili, Liverpool na Arsenal.
PRIME Ukipanda ndege ya supastaa Ronaldo utagoma kushuka! UNAPOKUWA supastaa kama Cristiano Ronaldo, unahitaji usafiri wa maana kama wa ndege binafsi ili kwenda sambamba na staili yako ya maisha.
Mo Salah aweka rekodi nyingine EPL STAA wa Liverpool, Mohamed Salah ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga na kutoa pasi katika michezo 10 au zaidi kwenye ligi kwa simu mmoja baada ya Lionel Messi aliyefanya hivyo...
16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya, leo ndo leo LEO ndo Leo kwenye usiku wa upangaji wa droo ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Baada ya juzi usiku kushuhudiwa miamba mingine nane ikitinga hatua hiyo baada ya michezo ya mtoano na kuungana...
PRIME Ripoti maalumu… Madokta wa timu 7 Ligi Kuu matatani KANUNI za usajili na leseni za Klabu za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), ni mojawapo kati ya miongozo muhimu ambayo ndani yake imetoa maelekezo ya kufuatwa ili kulinda usalama wa kiafya katika soka.
Al Ahly yapewa Al Hilal, Mamelodi ngoma ngumu Hatimaye Al Hilal ya Sudan wamepangwa na kingingi Al Ahly kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, mechi za kwanza zikipigwa Aprili Mosi.
Simba yapewa Mwarabu robo fainali CAFCC Droo ya robo fainali ya Kombe la Shrikisho Afrika imepangwa ambapo Simba itavaana na Al Masry ya Misri.
Frimpong azigonganisha Liverpool, Manchester City LIVERPOOL na Manchester City zinapambana vitakuiwania saini ya beki wa kulia wa Bayer Leverkusen na timu ya taifa ya Uholanzi, Jeremie Frimpong, 24, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi na...