Kuondoa madudu Ligi Kuu, wadau wataka kampuni ya waamuzi
WADAU mbalimbali wa soka nchini wamegawanyika kuhusu makosa yanayojirudia ya waamuzi wa Ligi Kuu Bara, baadhi wakitaka iundwe kampuni itakayowasimamia, huku wengine wakisema hiyo sio dawa kwani...