Salah aibu! aweka rekodi mbaya Carabao Cup SUPASTAA, Mohamed Salah ametengeneza rekodi mbaya kabisa kwenye mechi aliyoshuhudia timu yake ya Liverpool ikikumbana na kipigo kutoka kwa Newcastle United kwenye fainali ya Kombe la Ligi...
Hawa jamaa hata Wenger anaenjoi GWIJI wa Arsenal, Arsene Wenger ametaja wachezaji watano ambao anafurahia kuwatazama wakiwa wanacheza mwaka huu 2025 – huku orodha hiyo ikiwahusu masupastaa wa Real Madrid, Barcelona na Liverpool.
PRIME PUMZI YA MOTO: Yanga, Simba zisitufanye tuidharau busara "Mpira wetu unaharibiwa na TFF kwa sababu wanatumia BUSARA badala ya kanuni."
UTAMU UPO HAPA: Newcastle inavyonogesha vita ya michuano ya Ulaya kwa kushinda Kombe la Ligi NEWCASTLE United imeshinda taji lake la kwanza kwa msimu huu wa 2024/25 baada ya kuichapa Liverpool 2-1 kwenye fainali ya Kombe la Ligi iliyofanyika uwanjani Wembley, Jumapili.
CHRIS PAUL: Sio nguvu tu, hata mkwanja upo MIONGONI mwa wachezaji wa NBA ambao hawajakosa kucheza mechi hata moja msimu huu ni Chris Paul wa New Orleans Pelicans ambaye umri umeshaanza kumtupa mkono.
Haaland aweka rekodi nyingine STAA wa Manchester City, Erling Haaland amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya Ligi Kuu England, kuhusika katika mabao 100 ikiwa pamoja na kufunga na kutoa asisti kabla ya kufikisha mechi...
Arteta avaa gwanda kwa Nico Williams KOCHA wa Arsenal Mikel Arteta anadaiwa kuwasiliana na wawakilishi wa winga wa Athletic Bilbao, Nico Williams, ikiwa ni katika mipango yake ya kutaka kumsajili katika dirisha la majira ya...
PRIME Karia anakaribia umakamu CAF Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) na baraza la soka Afrika Mashariki na Kati, CECAFA, Wallace Karia amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka (CAF).
Arsenal, Darwin Nunez kuna jambo LIVERPOOL ipo tayari kumuuza mshambuliaji wake raia wa Uruguay, Darwin Nunez katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi kwa timu za ndani au nje ya England.
Mkosi bado unamwandama Dele Alli IKIWA ni katika nyakati ambazo ilionekana kwamba anaweza akaanza upya, tabu zimezidi kumwandama mshambuliaji wa zamani wa Tottenham, Dele Alli baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu katika mchezo...