Joshua aanika sababu za kukataa ‘Face-Off’ na Fury MVUTANO wa muda mrefu kati ya mabondia wakubwa wa Uingereza, Anthony Joshua na Tyson Fury, umeingia sura mpya baada ya Joshua kueleza sababu zilizochochea kukataa kuzichapa na mpinzani wake huyo...
Ahadi mbili za kocha mpya Simba Benchikha ambaye kabla ya kujiunga na Simba aliiongoza USM Alger ya Algeria kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika na ule la CAF Super Cup, alisema atahakikisha Simba inarudisha heshima ya...
Malisa azindua Mr Right msimu wa tano Dar es Salaam. Msimu wa tano wa kipindi cha Hello Mr Right unatarajia kuanza Desemba 2 ambapo vijana zaidi ya 30 watashiriki kutafuta wenza. Mkurugenzi wa Masoko na Maudhui kutoka Startimes...
ZA NDAANI KABISA: Ouattara anahesabiwa siku tu, kupisha wawili wapya Simba MABOSI wa Simba wamepanga kuongeza majembe mawili mapya dirisha dogo, huku beki wa kati, Mohamed Ouattara akihesabiwa siku kabla kuonyeshwa mlango wa kutokea. Za Ndaani Kabisa, zinasema Simba...
ZA NDAANI KABISA: Makambo akizubaa anafyekwa Yanga UJIO wa Tuisila Kisinda ndani ya Yanga baada ya Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya TFF kutoa baraka zake kuanza kuitumikia timu hiyo, imewasha taa ya tahadhari kwa mshambuliaji Heritier...
Nabi afuata dawa ya Mazembe KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi ametimka nchini kwenda Ulaya, huku akitoa salamu ambazo hazitakuwa njema jijini Lubumbashi, DR Congo, akisema hesabu zake sasa ni kumaliza na ushindi katika mechi...
Kumbe Morrison, Djuma walisimamishwa Yanga MASTAA watatu wa Yanga, wameonja joto la jiwe baada ya kusimamishwa na kocha Nasreddine Nabi kutokana na utovu wa nidhamu. Mastaa hao ni Djuma Shaban, Farid Mussa na Benard Morrison ambao...
Christopher Mwahangila: 'Tulimiss' matamasha ya Pasaka Mkali wa wimbo wa 'Yesu yuko Hapa', Christopher Mwahangila, amesema walimiss tamasha la Pasaka huku akiahidi kuwapa watu burudani ya kutosha siku hiyo. Mwahangila ameyasema hayo leo Alhamisi...
Nigeria, Tunisia zapewa vigogo 16 bora Kombe la Dunia U-20 NIGERIA na Tunisia zimefuzu hatua ya 16 Bora ya Fainali za Kombe la Dunia za Vijana umri chini ya miaka 20 baada kupitia kwenye kapu la washindwa bora, lakini zote zimejikuta mikononi mwa...
Hawa hapa ‘mabingwa’ wa sare FKF-PL MABINGWA wa zamani Ligi Kuu Kenya, AFC Leopards, ni miongoni mwa timu sita ambazo zinaongoza kutoa sare nyingi hadi sasa msimu huu. Timu hizo sita kila moja zimeshuhudia mechi zao 10 zikimalizika...