Mnigeria akoshwa viwango vya wenyeji CHAN 2024, akizitaja Simba na Yanga
MWANDISHI wa Habari kutoka Nigeria, Samweli Areo, aliyepo Zanzibar kwa sasa, amepongeza maendeleo makubwa ya soka la Afrika Mashariki, akisema kiwango cha timu za taifa za ukanda huo...