CAF yaipunguzia Morocco adhabu matukio fainali za AFCON 2025 MOROCCO imetangazwa kuwa bingwa wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) kubatilisha matokeo ya kipigo chao kwenye fainali dhidi ya...
Dar City yapongezwa kufuzu mtoano BAL SERIKALI ya Tanzania imeipongeza timu ya Dar City kwa kuweka historia ya kufuzu hatua ya nane bora (mtoano) ya mashindano ya mpira wa kikapu ya Africa (Basketball Africa League).
Kipa Singida BS afutiwa tuhuma za upangaji matokeo ZIKIWA zimepita siku mbili baada ya Singida Black Stars kumfutia adhabu kiungo Khalid Aucho ya kumsimamisha kwa miezi mitatu kutokana na utovu wa nidhamu na utoro kazini, pia imefanya hivyo kwa...
Mbeumo awasha 'moto' Cameroon ikiipiga Gabon AFCON CAMEROON imeanza vyema kampeni ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 kwa ushindi wa jasho wa bao 1-0 dhidi ya Gabon, huku nyota wa Manchester United, Bryan Mbeumo akiwa mhusika...
Ligi Kuu England imefikia patamu, sasa ni ‘weka, niweke’ HUKO kwenye Ligi Kuu England msako wa ubingwa wa taji hilo ni jino kwa jino. Weka niweke.
Mo Salah, Mahrez wakabana koo KABLA ya mechi za jana Jumamosi za michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 zilizohusisha timu za makundi ya C na D tayari jumla ya mabao 34 yalikuwa yamefungwa katika mechi 16 ikiwa...
AFCON sasa kila baada ya miaka minne ULE utamaduni wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kufanyika kila baada ya miaka miwili, unaenda kufa kutokana na mbadiliko yaliyofanywa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
Kodi zampukutisha Anthony Joshua LICHA ya kumchapa Jake Paul kwa KO, bondia Anthony Joshua ameripotiwa kuwa atapoteza pesa nyingi ambazo ni karibu ya nusu ya malipo yake ya Pauni 70 milioni aliyopata katika pambano hilo.