Uhondo wa CHAN upo Nairobi UHONDO wa fainali za CHAN 2024 unaendelea leo kwa mechi mbili za Kundi A, mapema jioni DR Congo itavaana na Zambia kabla ya wenyeji Kenya kumalizana na Angola, mechi zote zikipigwa jijini Nairobi.
PRIME Ateba akitoka, huyu anaingia! KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kikiwa kambini jijini Ismailia, Misri kujiandaa na msimu mpya wa mashindano na kuna kazi ya maana inaendelea kufanywa na kocha Fadlu Davids akisuka kikosi kwa...
Mbappe: Wale kina Ronaldo ni magwiji STAA wa Real Madrid, Kylian Mbappe amekataa kulinganishwa na supastaa Cristiano Ronaldo baada ya kukaribia kuipiku rekodi ya mabao ya mkali huyo wa Ureno katika msimu wake wa kwanza na miamba...
Arsenal yatoa onyo Ulaya ARSENAL ni kama imeshatinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kikosi hicho cha kocha Mikel Arteta kushusha kipigo kizito cha mabao 7-1 kwa PSV Eindhoven katika mchezo wa kwanza wa...
Europa League kazi ipo hapa KIMBEMBE cha kuwania nafasi ya kuwamo kwenye nane bora ya mikikimikiki ya Europa League kinaendelea usiku wa Alhamisi, ambapo nyasi za viwanja vinane tofauti zitawaka moto kusaka timu...
Becker: Kwa kiwango hiki, haijawahi kutokea BAADA ya kuibuka shujaa kwa kuokoa michomo mingi kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Paris Saint-Germain, kipa wa Liverpool, Alisson Becker, amesema kiwango...
Tajiri Man Utd... Tuna wachezaji wachovu tunawalipa pesa nyingi BILIONEA mmiliki mwenza Manchester United, Sir Jim Ratcliffe amekiri kwamba baadhi ya wachezaji hawana uwezo wa kutosha kuendelea kuwapo Old Trafford.
PRIME Kocha ASEC Mimosas amaliza utata wa Aziz KI, Ahoua KOCHA wa Asec Mimosas, Julie Chevalier, amewachambua viungo washambuliaji Jean Charles Ahoua na Stephane Aziz KI waliowahi kucheza Ligi Kuu ya Ivory Coast kabla ya sasa kukiwasha Ligi Kuu Bara.
Solskjaer: Amorim? Tatizo siyo yeye OLE Gunnar Solskjaer amefichua na kusema anajua ni wapi penye shinda kwenye kikosi cha Manchester United kinachofanya hovyo chini ya Ruben Amorim na kudai sio kosa la kocha.
KOMBE LAO: Makocha hawa wamefunika MASHINDANO la Klabu Bingwa ya Dunia ni moja ya michuano ya hadhi ya juu katika soka la klabu yanayowaleta pamoja mabingwa kutoka mabara mbalimbali duniani.