Kiungo England ampa ujauzito binti wa kocha wake Kiungo wa Sheffield United, Oliver Arblaster na binti wa kocha wake, Martha Elizabeth Wilder wamethibitisha kuwa wanatarajia kupata mtoto kutokana na uhusiano wao wa kimapenzi uliodumu kwa muda...
Serengeti Boys yafuzu Kombe la Dunia U-17 USHINDI wa mabao 3-0 ilioupata Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, leo Mei 17, 2026 dhidi ya Angola, kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON U-17) zinazoendelea...
Mo Salah azua hofu Kombe la Dunia Kocha Mkuu wa Misri, Hossam Hassan, amesema nahodha wa timu hiyo, Mohamed Salah atafanyiwa uchunguzi wa kiafya ili kubaini hali yake baada ya kuomba mwenyewe kutolewa katika mechi dhidi ya Iran...
VAR yainyima bao DR Congo VAR kwa mara nyingine imeendelea kuzionea timu za Afrika baada ya Ghana sasa ni DR Congo walinyimwa bao la kuvutia dhidi ya Uzbekistan, uamuzi ambao uliibua hasira kubwa kutoka kwa mashabiki na...
Utabiri Argentina, Ufaransa fainali, England mmh! KOMPYUTA maalumu ya kutabiri matokeo ya mashindano (supercomputer) imetabiri kuwa Argentina na Ufaransa zitakutana tena kwenye fainali ya Kombe la Dunia 2026, kama ilivyokuwa mwaka 2022.
Argentina yazindua sanamu la Messi ARGENTINA imezindua sanamu ya Messi yenye uzito wa tani 70, ikiwa ni kubwa zaidi duniani ambayo inalenga kuvutia watalii katika Jiji la Cutral Co lililopo mkoani Neuquen ambalo linaaminika kuwa...
Ni fainali za Antonela na Georgina KULE Marekani ndiko waliko Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wakiziwakilisha nchi zoa katika fainali za Kombe la Dunia 2026, huku wakiwa na ndoto kubwa za kuvunja rekodi fulani katika historia ya...
Emiliano Martinez ‘achizika’ na ubingwa Europa League KIPA wa Aston Villa, Emiliano 'Emi' Martinez, alishindwa kuzuia hisia zake na kuangua kilio cha furaha baada ya kikosi hicho kupata ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Freiburg katika fainali ya...
Cristian Romero aikacha Spurs, atimkia Argentina Nahodha wa Tottenham Hotspur, Cristian Romero amezua hofu baada ya kusafiri kwenda nchini kwao Argentina kushuhudia fainali ya klabu yake ya utotoni ya Belgrano, huku Spurs ikikabiliwa na mechi...
Sakata la West Ham, Arsenal laibua mjadala Kombe la Dunia 2026 WACHEZAJI wa timu ya taifa ya England wamepewa onyo na kujiandaa na sheria kali dhidi ya mchezo wa kushikana na mivutano ndani ya eneo la hatari wakati wa michuano ya Kombe la Dunia 2026.