Mo Salah, Van Dijk vikumbo kwenye tuzo MASTAA wa wanane wamewekwa kwenye orodha ya wakali wanaowahia tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu kwenye Ligi Kuu England msimu huu, hukuu Liverpool ikiwakilishwa na wachezaji watatu.
Mastaa kibao wahudhuria maziko ya Jota MASTAA wenzake Diogo Jota wa sasa na zamani kwenye kikosi cha Liverpool wamewasili huko Ureno kwenda kuhudhuria maziko ya mchezaji huyo aliyefariki dunia ajalini, Alhamisi alfajiri.
Sporting, Gyokeres mambo yazidi kuwa mabaya MABOSI wa Sporting Lisbon wana hofu kuwa staa wao anayewindwa na Arsenal, Viktor Gyokeres, ataendelea kushikilia msimamo wake wa kutojiunga na timu na hatohudhuria mazoezi leo, Jumatatu ikiwa ni...
Nico Williams aipa sharti moja Barcelona MBALI ya kukubali na kutamani sana kujiunga na Barcelona, winga wa Athletic Bilbao, Nico Williams ametoa sharti moja kwa mabosi wa timu hiyo kabla hajasaini mkataba.
Gyokeres bado mtihani, vigogo wajaa vitani LICHA ya ripoti kwamba uhusiano baina ya straika Viktor Gyokeres na uongozi wa klabu yake ya Sporting Lisbon kutokuwa mzuri hivi karibuni, bado vigogo mbalimbali wakiwamo Arsenal na Manchester...
Kitanzi kipya Man City, Newcastle United Maisha huenda yakawa magumu kwa Manchester City na Newcastle United katika Ligi Kuu England (EPL) kwa siku za usoni hasa katika ununuzi wa wachezaji wa gharama kubwa na uendeshaji wa timu hiyo.
Serengeti Boys yatua Morocco, hesabu Kombe la Dunia Katika Afcon U17, Serengeti Boys imepangwa katika kundi A na wenyeji Morocco, Zambia na Uganda.
Piga ua, Arsenal lazima isajili BILA kujali itamalizaje msimu wa 2024-25, Arsenal itahitaji kufanya usajili wa kuboresha kikosi chao dirisha lijalo.
Mdomo wa Raphinha umeiponza Brazil MASTAA wa Argentina wamesema kauli ya staa wa Kibrazili Raphinha ndiyo iliyowapa hasira na kuhakikisha wanaishushia kipigo kizito Brazil kwenye mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 kwa upande wa...
Usiku wa hukumu Ligi ya Mabingwa Ulaya MICHEZO ya kwanza ya mkondo wa pili hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya inatarajiwa kupigwa leo na kutakuwa na mechi mbili zote zikianza saa 4:00 usiku.