Mabosi Bayern Munich watua kwa Luis Diaz IMEFICHUKA Bayern Munich imewasilisha ombi kwenda Liverpool ili kumnunua winga wao Luis Diaz, mwenye umri wa miaka 28, katika dirisha hili.
Man United ikizubaa kwa Mbeumo, italia MANCHESTER United inakabiliwa na ishu nyingine kwenye mpango wao wa kumsajili staa wa Brentford, Bryan Mbeumo katika kipindi cha dirisha hili la usajili wa majira ya kiangazi.
Ngapi huko? Mashabiki wataulizana NGAPI huko? Bila shaka ni swali watakalokuwa wakiulizana mashabiki wa soka hiyo Jumapili, wakati kipute cha fainali ya Kombe la Dunia la Klabu litakapopigwa uwanjani MetLife, Marekani.
Simba yafunga hesabu kwa Conte Simba imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo wa CS Sfaxien, Balla Moussa Conte leo Ijumaa, Julai 11, 2025.
Real Betis, Antony sasa mambo ni freshi REAL Betis bado ina matumaini ya kumsajili winga wa kimataifa wa Brazil, Antony kutoka Manchester United kwa mkataba wa moja kwa moja baada ya kuvutiwa sana na kiwango alichoonyesha msimu...
Alonso kupiga bei kibao Real Madrid REAL Madrid imeripotiwa kuanza kupokea ofa kwa ajili ya mastaa wake watatu, Rodrygo, Brahim Diaz na Dani Ceballos ambao imepanga kuwapiga bei kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi baada ya...
Jezi Namba 10 yamlevya Cunha STAA mpya wa Manchester United, Matheus Cunha amefichua alibadilishana jezi na Marcus Rashford ili kuwa na jezi Namba 10 ya timu hiyo nyumbani siku kadhaa kabla ya kutua Old Trafford na...
PRIME Habari mpya kuhusu Kocha wa Yanga YANGA inaendelea na marekebisho kadhaa ya kiufundi kwenye kikosi chake kuelekea kwenye maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa. Mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara mara...
Man United wao ni Mbeumo tu :MANCHESTER United bado ipo kwenye meza ya mazungumzo na Brentford kwa ajili ya ofa ya kumsajili mshambuliaji Bryan Mbeumo.
Kinachokwamisha dili la Gyokeres Arsenal ni hiki SIKU chache baada ya wawakilishi wa Arsenal kuondoka, Ureno bila ya kufikia makubaliano na mabosi wa Sporting Lisbon juu ya mauziano ya Viktor Gyokeres, tovuti ya Independent imefichua ukweli juu...