ISHOWSPEED: Shabiki wa Ronaldo anayepiga pesa mtandaoni HIVI karibuni Cristiano Ronaldo alitangazwa kuwa mchezaji wa kwanza anayecheza soka kufikisha utajiri wa Dola 1 bilioni.
Kisa kuongoza mgomo, kocha, mastaa Guinea ya Ikweta watimuliwa GUINEA ya Ikweta, imemfuta kazi kocha wao Juan Micha na kuwaondoa baadhi ya wachezaji muhimu kikosini baada ya mgomo uliosababisha timu hiyo kushindwa kusafiri kwenda Malawi kwa ajili ya mechi ya...
Chelsea hali si shwari, idadi ya majeruhi inaongezeka CHANGAMOTO ya majeruhi Chelsea imezidi kuongezeka katika kipindi hiki cha mapumziko ya kimataifa baada ya kiungo wao Enzo Fernandez kulazimika kuondolewa katika kikosi cha timu ya taifa Argentina.
Steven Gerrard hana kazi, kakataa kazi KOCHA wa zamani wa Aston Villa, Steven Gerrard amejiondoa katika kinyang’anyiro cha kuwa kocha mkuu wa Rangers baada ya kuwaambia mabosi wa timu hiyo wakati huu sio sahihi.
Fungua pochi, Glazers wanasubiri ofa zenu TAJIRI ambaye aliwahi kujaribu kuinunua Manchester United, Thomas Zilliacus amefunguka kuwa wamiliki wa timu hiyo, familia ya Glazer, kwa sasa wako tayari kuiuza.
Enzo Fernandez aingia anga za Real Madrid KIUNGO wa kati wa Chelsea, Enzo Fernandez, 24, anatajwa kuwa kwenye rada za Real Madrid inayotaka kumsajili mwisho wa msimu huu.
Julian Nagelsmann afunguka kiwango cha Wirtz KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, ametumiwa ujumbe na kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani, Julian Nagelsmann ambaye amesema kiwango kisichoridhisha kinachoonyeshwa na Florian Wirtz si kosa la staa...
Real Madrid yapiga hesabu hizi kwa Haaland MABOSI wa Real Madrid wamewasiliana na kambi ya Erling Haaland ili kuangalia uwezekano wa kumsajili, huku ripoti zikidai kabla ya kufanikisha hilo wanataka kwanza kumuuza staa wao wa kimataifa wa...
Enzo Fernandez arudi fasta London kufanyiwa vipimo Nyota wa Chelsea, Enzo Fernandez, amerejea jijini London, kufuatia hofu ya kuwa na majeraha ambayo huenda yakamuweka nje ya uwanja kwa siku kadhaa.