Taifa Stars yachapwa tena, yamaliza dakika 540 bila ushindi MABAO mawili yaliyofungwa Iran katika dakika 26 za kwanza, yametosha kuifanya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kushindwa kuambulia ushindi kwenye mechi sita mfululizo ilizocheza sawa na...
Isak, Gyokeres waiponza Sweden STRAIKA, Alexander Isak amefichua hasira zaidi baada ya Sweden kushindwa kufanya vizuri kwenye mechi za kufuzu Kombe la Dunia licha ya kuwa na fowadi ya kiwango cha dunia.
Mabosi PSG wanamtaka Lamine Yamal MABOSI wa Paris Saint-Germain wameripotiwa kuwa na imani kwamba watamng'oa Lamine Yamal kutoka Barcelona.
Dah! Pogba apata kimeo kingine KIUNGO wa AS Monaco, Paul Pogba amepata pigo baada ya kuumia na sasa ataendelea kusubiri kabla ya kucheza mechi yake ya kwanza kwenye kikosi hicho cha miamba ya Ufaransa.
Cristhian Mosquera apewa mchongo Colombia BEKI wa kati, Cristhian Mosquera huenda akabadilisha soka lake la kimataifa kutoka Hispania hadi Colombia baada ya kufanya vizuri kabisa Ligi Kuu England akiwa na kikosi cha Arsenal
Ahmed Ally aeleza mwarobaini kutokomeza jezi feki Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ameendelea na ziara yake mikoani yenye lengo la kutoa elimu kwa wanachama na mashabiki juu ya madhara ya kuvaa jezi feki, ambapo leo...
Madrid yadhamiria kumuuza Vinicius Jr Saudi Arabia Real Madrid imedhamiria kumuuza winga wao wa kimataifa wa Brazil, Vinicius Junior, 25, dirisha lijalo la majira ya kiangazi kwenda Saudi Arabia.
Kylian Mbappe amsononesha mama yake MAMA wa mchezaji supastaa, Mbappe amesema mwanaye huyo ambaye ni mchezaji wa Real Madrid “hana maisha” nje ya mchezo wa soka kwa sababu hapati muda wa kuanzisha uhusiano.
Gwiji Liverpool anajua tatizo la Wirtz KIUNGO wa zamani wa Ligi Kuu England, Danny Murphy amefunguka anafahamu ni kitu gani kinachomfanya Florian Wirtz wa Liverpool ashindwe kufanya vizuri tangu aliponaswa kwa pesa nyingi kutokea...
Mjukuu wa Kipchoge ang’ara Africa Duathlon Cup Mwanariadha chipukizi, Joseph Okal ambaye ni mjukuu wa gwiji wa riadha, Kipchoge Keino, ameendeleza urithi wa familia kwa kutwaa ushindi katika mbio za wanaume wa daraja la juu (Elite Men) za...