Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8552 results for Mwandishi Wetu :

  1. Kipa Senegal auawa na watekaji baada ya familia kushindwa kulipa fedha za fidia

    Jamii ya soka nchini Senegal, imo katika majonzi kufuatia mauaji ya golikipa chipukizi mwenye umri wa miaka 18, Cheikh Toure, ambaye aliuawa kikatili na watekaji baada ya familia yake kushindwa...

    SENEGAL Pict
  2. Sikia hii mpya ya shabiki wa Man United

    SHABIKI wa damu wa mchezo wa soka ambaye aliamua kubadili jina lake na kuitwa Manchester United amefariki dunia kwa kihoro baada ya timu yake kupata matokeo mabovu, amebainisha shemeji yake.

    Man Utd Pict
  3. Barcelona yatuma watu kumtazama Greenwood

    MASKAUTI wa Barcelona walikuwepo uwanjani mwishoni mwa wiki iliyopita kumtazama mshambuliaji wa Marseille, Mason Greenwood, 24.

    FUNUNU Pict
  4. Mambo 10 yaliyotokea kipute cha Anfield

    MANCHESTER United imesogea kwenye msimamo wa Ligi Kuu England na kuwa nyuma kwa pointi mbili tu kufika kwenye nafasi ya kukamatia tiketi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wake muhimu...

    ANFIELD Pict
  5. PRIME TAFCA mko wapi makocha wazawa wananyanyasika

    Soma hapa

    PUMZI Pict
  6. Ndo hivyo, Guehi anaondoka

    KOCHA wa Crystal Palace, Oliver Glasner amethibitisha beki wa kati Marc Guehi ataondoka kwenye klabu hiyo ikiwa ni miezi michache imepita tangu alipokwama kujiunga na Liverpool kwenye dirisha...

    GUEHI Pict
  7. Wenger ameshtua watu Italia

    MASHABIKI wa soka wamebaki kwenye mchangao mkubwa baada ya kumwona Arsene Wenger uwanjani kwenye mechi ya Como dhidi ya Juventus kwenye Serie A.

    WENGER Pict
  8. Kurudi Anfield... Klopp asema kitu!

    KOCHA, Jurgen Klopp amefunguka juu ya uwezekano wa kurejea kuinoa Liverpool akidai hilo kinadharia inawezekana.

    KLOP Pict
  9. Ruben Amorim alivyomzidi ujanja Arne Slot

    RUBEN Amorim ametumia akili kubwa kumzidi ujanja Arne Slot wakati Manchester United ilipoiduwaza Liverpool uwanjani kwao Anfield

    AMORIM Pict
  10. Sean Dyche, Nottingham Forest wakati wowote kitaeleweka

    Sean Dyche huenda akatangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa Nottingham Forest baada ya mazungumzo kati yake na uongozi wa klabu hiyo kwenda vizuri tangu jana Jumapili jioni Oktoba 19, 2025.

    DYCHE Pict
Previous

Page 344 of 856

Next