Yvonne amkana kabisa Adebayor YVONNE Nelson amedai kuwa magazeti ya Ghana yanapotosha mashabiki na wala si kweli kwamba ana ujauzito wa mshambuliaji wa Totenham Emanuel Adebayor.
Majeraha yamtesa mshambuliaji ghali wa Singida United Mshambuliaji wa kimataifa wa Singida United, Danny Usengimana ameikosa mechi ya jana ya Singida United na Mbao FC jambo lililozua maswali kwa mashabiki wa timu hiyo.
Juventus yampiga marufuku Dani Alves kuanzisha mazungumzo ya kusajiliwa na Chelsea, Man City Klabu ya Juventus imemchimba mkwara mchezaji wake Dani Alves kwamba atalazimikiwa kujiuzulu iwapo ataanzisha mazungumzo ya kusajiliwa na klabu za Chelsea na Manchester City.
Simba yaibukia kwa Mfaransa Miamba hiyo ya Tanzania inasaka kocha mwingine wa kiwango cha juu baada ya kumtimua Joseph Omog
KISIWA CHA MAUTI - 12 sijui kama ameua mtu” Edda akajitetea. “Sasa utakwenda jua huko mbele ya safari. Shuka kwenye pikipiki yako mwandishi ochwara wewe!” Nikashuka kwenye pikipiki. “Tumeambiwa pia umekimbia na...
Jaydee aja na Jide Silver miaka 25 ndani ya gemu Katika maadhimisho hayo, yaliyopewa jina la Jide Silver, mwimbaji huyo ataanza kwa kuijengea jamii ufahamu juu ya ugonjwa wa saratani akishirikiana na Hospitali ya Ocean Road, siku ya Juni 9.
Man United, Osimhen ni suala la muda IMEFICHUKA. Ripoti zinadai kuna uwezekano mkubwa straika wa Napoli anayecheza kwa mkopo Galatasaray, Victor Osimhen akacheza Manchester United msimu ujao baada ya kukubaliana na miamba hiyo ya...
Gyokeres, Arsenal jambo limeiva NDO hivyo. Arsenal imefikia patamu kwenye mazungumzo ya kumnasa straika wa mabao, Viktor Gyokeres baada ya kuamua kumchukua mkali huyo wa Sweden badala ya Benjamin Sesko.
Aguero azua jambo kwa mwamuzi Allin-Khan naye aliuliza: “Hivi Aguero anadhani yeye ni nani? Hili halikubaliki.” Wakati huo huo, mwandishi wa soka, Leanne Prescott alisema: “Aguero kugusa shingo ya Sian Massey ni tukio...
Eto'o anusurika kifo ajalini NKONGSAMBA, CAMEROON. STAA wa zamani wa Barcelona na Cameroon, Samuel Eto'o amelazwa hospitali baada ya kupata majeruhi kichwani kufutia ajali ya gari iliyotokea kwao Cameroon, imeripotiwa.