Masupastaa 100 ghali wa dunia
Muktasari:
- Kwenye orodha hiyo ya mastaa ghali duniani - kwa maana ya walionaswa kwa pesa nyingi supastaa wa Kibrazili Neymar ndiye anayeshikilia rekodi baada ya kusajiliwa kwa Pauni 194.5 milioni akitokea Barcelona kwenda PSG 2017.
LONDON, ENGLAND: KARIBU Pauni 7 bilioni zimetumika kwenye usajili wa mastaa 100 ghali duniani kuanzia mwaka 2008.
Kwenye orodha hiyo ya mastaa ghali duniani - kwa maana ya walionaswa kwa pesa nyingi supastaa wa Kibrazili Neymar ndiye anayeshikilia rekodi baada ya kusajiliwa kwa Pauni 194.5 milioni akitokea Barcelona kwenda PSG 2017.
Supastaa Kylian Mbappe anashika nafasi ya pili, huku akishika rekodi ya kuwa kinda ghali zaidi duniani, wakati staa mpya wa Liverpool, Florian Wirtz kutoka Bayer Leverkusen akiweka rekodi ya kuwa mchezaji ghali zaidi kwenye Ligi Kuu England. Kiungo wa Arsenal, Declan Rice naye yupo kwenye orodha ya wanasoka ghali kabisa wanaokipiga Ligi Kuu England baada ya kujiunga na Arsenal akitokea West Ham United mwaka 2023.
Hii hapa orodha ya mastaa 100 ghali kabisa duniani.
1.Neymar (Pauni 194.51milioni)
2.Kylian Mbappe (159.22milioni)
3.Philippe Coutinho (Pauni 118.29milioni)
4.Ousmane Dembele (Pauni 118.29milioni)
5.Florian Wirtz (Pauni 106.94milioni)
6.Joao Felix (Pauni 111.53milioni)
7.Eden Hazard (Pauni 105.92milioni)
8.Antoine Griezmann (Pauni 105.22milioni)
9.Cristiano Ronaldo (Pauni 103.49milioni)
10.Enzo Fernandez (Pauni 103.13milioni)
11.Declan Rice (Pauni 101.39milioni)
12.Jack Grealish (Pauni 101.01milioni)
13.Moises Caicedo (Pauni 100.87milioni)
14.Jude Bellingham (Pauni 98.26milioni)
15.Romelu Lukaku (Pauni 97.14milioni)
16.Paul Pogba (Pauni 85.83milioni)
17.Gareth Bale (Pauni 85.77milioni)
18.Cristiano Ronaldo (Pauni 83.68milioni)
19.Harry Kane (Pauni 82.61milioni)
20.Randal Kolo Muani (Pauni 82.61milioni)
21.Antony (Pauni 80.97milioni)
22.Josko Gvardiol (Pauni 78.26milioni)
23.Neymar (Pauni 78.26milioni)
24.Harry Maguire (Pauni 76.28milioni)
25.Frenkie de Jong (Pauni 75.49milioni)
26.Matthijs de Ligt (Pauni 75milioni)
27.Neymar (Pauni 74.73milioni)
28.Romelu Lukaku (Pauni 74.21milioni)
29.Virgil van Dijk (Pauni 74.17milioni)
30.Gonzalo Higuain (Pauni 73.57milioni)
31.Jadon Sancho (Pauni 73.07milioni)
32.Darwin Nunez (Pauni 72.45milioni)
33.Dusan Vlahovic (Pauni 71.78milioni)
34.Arthur Melo (Pauni 71.64milioni)
35.Kai Havertz (Pauni 71.11milioni)
36.Kepa Arrizabalaga (Pauni 70.77milioni)
37.Lucas Hernandez (Pauni 70.15milioni)
38.Nicolas Pepe (Pauni 70.15milioni)
39.Victor Osimhen (Pauni 70.13milioni)
40.Hugo Ekitike (Pauni 69.60milioni)
41.Wesley Fofana (Pauni 68.53milioni)
42.Aurelien Tchouameni (Pauni 68.19milioni)
43.Rasmus Hojlund (Pauni 67.65milioni)
44.Luis Suarez (Pauni 65.84milioni)
45.Victor Osimhen (Pauni 65.25milioni)
46.Bryan Mbeumo (Pauni 65.25milioni)
47.Kai Havertz (Pauni 65.22milioni)
48.Jhon Duran (Pauni 65.17milioni)
49.Romelu Lukaku (Pauni 64.88milioni)
50.Thomas Lemar (Pauni 63.69milioni)
51.Ruben Dias (Pauni 63.64milioni)
52.Julian Alvarez (Pauni 63.48milioni)
53.Omar Marmoush (Pauni 63.48milioni)
54.Matheus Cunha (Pauni 62.80milioni)
55.Zlatan Ibrahimovic (Pauni 61.87milioni)
56.Rodri (Pauni 61.38milioni)
57.Luis Diaz (Pauni 60.90milioni)
58.Dominik Szoboszlai (Pauni 60.87milioni)
59.James Rodriguez (Pauni 60.43milioni)
60.Angel Di Maria (Pauni 60.43milioni)
61.Casemiro (Pauni 60.22milioni)
62.Riyad Mahrez (Pauni 59.97milioni)
63.Mykhaylo Mudryk (Pauni 59.67milioni)
64.Alexander Isak (Pauni 59.67milioni)
65.Kaka (Pauni 59.65milioni)
66.Mateo Retegui (Pauni 59.38milioni)
67.Khvicha Kvaratskhelia (Pauni 59.25milioni)
68.Mason Mount (Pauni 58.87milioni)
69.Achraf Hakimi (Pauni 58.45milioni)
70.Alvaro Morata (Pauni 57.83milioni)
71.Viktor Gyokeres (Pauni 57.25milioni)
72.Matthijs de Ligt (Pauni 57.11milioni)
73.Bruno Fernandes (Pauni 56.99milioni)
74.Joao Cancelo (Pauni 56.99milioni)
75.Aymeric Laporte (Pauni 56.95milioni)
76.Christian Pulisic (Pauni 56.61milioni)
77.Goncalo Ramos (Pauni 56.52milioni)
78.Pierre-Emerick Aubameyang (Pauni 55.86milioni)
79.Marc Cucurella (Pauni 55.66milioni)
80.Mohammed Kudus (Pauni 55.51milioni)
81.Joao Pedro (Pauni 55.41milioni)
82.Alisson (Pauni 55.28milioni)
83.Luka Jovic (Pauni 55.24milioni)
84.Kevin De Bruyne (Pauni 55.14milioni)
85.Martin Zubimendi (Pauni 55.05milioni)
86.Edinson Cavani (Pauni 54.77milioni)
87.Dominic Solanke (Pauni 54.42milioni)
88.Dean Huijsen (Pauni 54.38milioni)
89.Tanguy Ndombele (Pauni 54.36milioni)
90.Romeo Lavia (Pauni 54milioni)
91.Matheus Nunes (Pauni 53.91milioni)
92.Anthony Elanga (Pauni 53.42milioni)
93.Miralem Pjanic (Pauni 53.33milioni)
94.Naby Keita (Pauni 53.07milioni)
95.Diego Costa (Pauni 52.57milioni)
96.Leny Yoro (Pauni 52.47milioni)
97.Christopher Nkunku (Pauni 52.17milioni)
98.Manuel Ugarte (Pauni 52.17milioni)
99.Otavia (Pauni 52.17milioni)
100.Malcom (Pauni 52.17milioni)