Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Saido kuikosa KMC...Avuta jiko

Kuna namna tunamkosea heshima Saido Ntibazonkiza

Muktasari:

  • Saido aliye majeruhi hatakuwa sehemu ya mchezo wa Jumamosi hii kati ya timu yake Yanga na KMC utakaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

NYOTA wa Yanga, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ anatarajia kufunga ndoa Jumamosi, Machi 19 na mpenzi wake Uwera Samantha ‘Samira’.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari  na mitandao ya kijamii nchini Burundi ndoa hiyo itafanyika kwa taratibu za dini ya kiislamu na baadae sherehe zitaendelea kwenye ukumbi wa Beliane, Bujumbura.

Saido aliye majeruhi hatakuwa sehemu ya mchezo wa Jumamosi hii kati ya timu yake Yanga na KMC utakaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Saido kuikosa KMC...Avuta jiko

Tayari nyota huyo yupo kwao nchini Burundi akikamilisha taratibu za ndoa hiyo na atatumia kipindi cha Ligi kusimama zikipisha ratiba za timu za taifa kama fungate kabla ta kurejea Tanzania kujiunga na Yanga.

Nyota huyo amekuwa na kiwango bora msimu huu ndani ya Yanga akihusika kwenye mabao 10 ya chama hilo kwenye Ligi kwa kufunga matano na kutoa asisti nne.