Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mastaa Simba kicheko...

MASHABIKI wa Simba kwa sasa mambo yao ni burudaani, kutokana na chama lao kufanya makubwa kwenye michuano ya Ligi Kuu Bara na ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku ikibainika kuwa mastaa wa timu hiyo wamekuwa wakipiga pesa ya maana kutoka kwa bilionea wa klabu hiyo, Mohammed Dewji.

Kama hujui ni kwamba Mo Dewji ndani ya msimu huu wa 2020-2021 yamemtoka mamilioni ya pesa za kutosha kwenda kwa mastaa wake, wakati wa usajili, motisha katika Ligi ya Mabingwa hadi huko mazoezini.

Soma zaidi hapa: www.egazeti.co.tz